Habari ndugu zangu.
Nimetumiwa meseji yenye ujumbe huu;
"Ndugu zangu wa vyuo vikuu tumieni vizuri pesa mlizonazo kwani serikali haijapeleka pesa bodi ya mikopo kwa sababu ya bunge la katiba..tegemea kupata boom mwezi wa sita au wa saba..mjulishe na mwenzio ili atumie pesa zake vizuri."
Je kuna ukweli wowote juu ya hili, kwani nmeshuhudia watu wakpiga kelele za 'njaaaaaah' hapa mabibo hostel. Mwenye taarifa yoyote atujuze na pia kama mawaziri wa mikopo vyuoni mnausoma uzi huu mtujuze maana hali si shwari.Asanteni.
Nawasilisha.
Mawaziri bado hawako sawa...watu wamewanyima kura affu wamechagua boya...uduanzi..
Fununu tu.
Habari ndugu zangu.
Nimetumiwa meseji yenye ujumbe huu;
"Ndugu zangu wa vyuo vikuu tumieni vizuri pesa mlizonazo kwani serikali haijapeleka pesa bodi ya mikopo kwa sababu ya bunge la katiba..tegemea kupata boom mwezi wa sita au wa saba..mjulishe na mwenzio ili atumie pesa zake vizuri."
Je kuna ukweli wowote juu ya hili, kwani nmeshuhudia watu wakpiga kelele za 'njaaaaaah' hapa mabibo hostel. Mwenye taarifa yoyote atujuze na pia kama mawaziri wa mikopo vyuoni mnausoma uzi huu mtujuze maana hali si shwari.Asanteni.
Nawasilisha.
HATIMAYE MAJINA YABANDIKWA: baada ya kimbembe cha kucheleweshwa majina ya kusign kwa ajili ya fedha ya kujikimu wanafunzi katika chuo kikuu cha dar es salaam Leo hii majina yamebandikwa ikiwa ni hatua ya kupelekea kusign ili kuingiziwa fedha hizo. Majina hayo yaliyo bandikwa ni ya wanafunzi wote wanaolia NJAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
Usipanick.... 