BOOM LA LOAN BOARD St AUGUSTINE CHEQUE IMEWEKWA FIXED ACCOUNT.

don-oba

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
1,387
677
Kwa wale wanafunzi wa St Augustine walioanza 2nd sem tangu tar 13 february msitegemee kupata boom hivi punde. Kuna tetesi ya kwamba yule jamaa Alex akishirikiana na baadhi ya viongozi wamedeposit cheque ya loan board tangu tar 22 january. Wanasubiri mwezi utimie tar 22 feb ndo tutaanza kusaini.
 
don oba, nimefurahi kuisoma post yako mkuu kumbe wanafunzi wa saut bado hawajapata boom! aisee vile vibinti kipindi kama hiki tulikuwa tunavila vibaya sana.. ukivipa buku 5 tu unajibebea hehehe cha muhimu ni kwa binti nikupeleka mkono kinywani tu. safari hii imenipita bwana kutokana na majukumu kuwa mengi, mwakani nitatafuta nafasi by december/january/feb nije mwanza.
watoto huwa wananyodo sana boom likiingia, wakiishiwa madereva wa tax/daladala wauza maduka, wazee wote huwa wanaponea saut
 
ha ha ha, umenifurahisha sana.....!
 
Alex,Mama nasania,na raisi wenu mataba wote wezi minimemaliza mwaka jana ila hao watu ndo chanzo cha dada zetu kujiuza ila kamavipi komaeni tu wadogo zetu siku moja mtatoka kama sisi.
 
Jana nimemshikisha binti wa UDSM kwa buku tano, hakuna kula, supu (ngunga tu). Nnachowapendea mabinti wa kusomba vyuoni ndio hicho. Hawatakagi love story wao Bongo Bingo.
 
mbna cc 2likomaaga 2010 nikiwa na mh machali mpaka kwa meneja wa benk mbna kesho yake 2lipewa hela.so nawashauri nenden benk mkauliza ka hela yenu imeingia.alex ni **** mkubwa cjui wanaundugu na kitima?
 
Busara itumike. Mwanafalsafa Plato alipata kusema "BINADAMU KAMWE HATAONA MWISHO WA MATATZO YAKE MPAKA PALE VIONGOZI NA WATAWALA WATAKAPO KUWA WENYE HEKIMA". Huu ni ufisadi mwingine,Mkuu wa chuo fuatilia hili,taasisi yako inapoteza credibility mbele ya umma. Naomba kuwasilisha.
 
Alex,Mama nasania,na raisi wenu mataba wote wezi minimemaliza mwaka jana ila hao watu ndo chanzo cha dada zetu kujiuza ila kamavipi komaeni tu wadogo zetu siku moja mtatoka kama sisi.

kwanza huyu Mataba hafai kabisa, hafwatilii mambo. Kwa mfano ishu ya kuchelewa lipa ada watu tumepigwa fine 100000! Alex sahv anatembelea cruizer ya mkonga. Jamaa mwizi huyu!
 
mbna cc 2likomaaga 2010 nikiwa na mh machali mpaka kwa meneja wa benk mbna kesho yake 2lipewa hela.so nawashauri nenden benk mkauliza ka hela yenu imeingia.alex ni **** mkubwa cjui wanaundugu na kitima?

aisee umenipa ushauri mzuri, ngoja nijipange na makamanda wenzangu twende kwa meneja wa bank. Tatizo SAUT hawana ushirikiano, chuo km seminari....wengine hatuna mkopo tunawatetea lakini wao wapo tu wamekausha.
 
Hapo umenena hili suala la ushirikiano kwa SAUT ni hakuna kabisa
 
sijawahi sikia wanafunzi wanagoma, hakuna kilichonishangaza km kupiga fine ya kilo nzima. Sasahv raisi bora tuwape hata Educt!
 
Muulize kwanza malendo ya kuanzishwa chuo hicho! usifikili ni UDSM hiyo!

Nilichaguliwa UDSM mwaka 2005 kusoma hapo tena sheria nikakataa, hapa SAUT mkuu nasoma LLM.... Barchellor nimechukua mbali kabisa si hapa kwa JK...!
 
aisee umenipa ushauri mzuri, ngoja nijipange na makamanda wenzangu twende kwa meneja wa bank. Tatizo SAUT hawana ushirikiano, chuo km seminari....wengine hatuna mkopo tunawatetea lakini wao wapo tu wamekausha.

Dai haki yako uone kitakachojiri juu yako wewe kama wewe.! Uongozi wa SauT wanafukuza individually tena kimya kimya. Cha msingi hapa ni kusubiri tu kwani tarehe 22 siyo mbali. Pia vijana mkipata hilo boom acheni kujidai kwa kulewa saaana na kuruka clubs.
 
Hakuna ushirikiano kabisa fain laki 1 kisa umechelewa kureport dis z f**n system..ukiwaambia w2 kugomea hii hali raia wanakuambia nenda mwnyew c 2naogopa kufukuzwa!haya ss loan nayo ndo io..kila cku inapgwa kalenda..unafikir wadada wataacha kujiuza! Naweza xema saut ni kama seminary!..
 
Matatizo makubwa ya SAUT, ni kwamba Rais huwa anachaguliwa na uongozi wa chuo na siyo wanafunzi, Kwani kamati nyingi za uchaguzi huundwa kwa lengo lengo la kupanga wagombea ambao uongozi wa chuo unawataka, na hata rais wa sasa Mataba na waziri mkuu wake wote hawapati mkopo so hawawezi kutetea maslahi ya wenye mkopo. Nawashauri wanasaut wawe makini sana katika kuchagua viongozi wao kwani Mataba ameshaanza kujipanga kwa ajili ya kuchakachua kamati ya uchaguzi ujao ili aweze kumweka mtu ambaye yeye anamtaka. Mikakati yake inafahamika tena anatumia kigezo cha kwamba ametumwa na Dr Kitima amtafutie mtu atakayefaa kuwa rais baada yake. Kwa mtindo huu mnategemea kupatapata Kiongozi mwenye uwezo kutetea wanyonge na hasa kwenye masuala ya mikopo? Safari hii tunawambia waendelee na mipango yao ya kutuletea viongozi wanaowataka wao then Makamanda tumejipanga kukabiliana nao na muda si mrefu nitaiweka mipango yao hatharani hapa jamvini. Aluta continua
 
Back
Top Bottom