Najua wanafunzi wa TRANSFER BADO wengi mna hussle vya kutosha ..ni baada ya kuvumilia zaidi ya MIEZI MINNE ambayo academically tunaita SEMISTER moja ..poleni sana na pole pia kwa waliosaini BATCH 13.14.15. kwa kusaini 524000 namaanisha boom la 2 ....
Baada ya kufanya tatfiti zaidi ya 3 pale board nimengundua tunachezewa kamchezo
Nilipoohiji kwa siku ya kwanza majibu yalikuwa kama ifutavyo
Day one: "tukiwalipa transfer basi huwa tunalipa kutokana na wenzao tumewalipa mpaka wapi" akimanisha kama wengne wamelipwa boom mbili.basi transfer watawekewa zoote
Day two: "unajua transfer watalipwa second quater kwa kuwa pesa zao za kwanza hazijarudishwa kutoka vyuonii"
siku hiyo hiyo nikaenda ofgice nyingne wakaniambai
"pesa za return zimerudi sema bado ziko juu zinazinguka.."nilicheka sana kwa majibu yao..
Day three: kutokana kwamba waliniambia pesa ziko juu nikaenda siku nyingne nione kama zimeshuka wakanambia hivi "pesa za boom la kwanza zimefika jana .." hivi hiyo ni dharau au nn?
basi nia yao kubwa ni kutafuna pesa yetu..maana nimeenda vyuo zaidi ya vinne wanadai RETURN ZIPO board since JANUARY walivyomaliza kusainisha wanafunzi wao boom la kwanza
Kazi kwako mwana TRANSFER unaye hussle kama mm kudemand haki yako..
mm Jumatatu nitaenda tena ..nikiwa sasa sitaki siasa...
NOMBENI TRANSFERS TU tushauriane tunafanya nn? KABLA YA LIKIZO
Ni kweli mkuu ila nina imani KABLA ya mm kwenda Likizo ntakuwa nimesashasaini iyo pesa ..maanaNikupongeze mkuuu kwa upambanaji wako wewe na Mimi tumepambana sana juu ya mahalamia hawa wa loanbord hatimaye Jana nimesaini purtor ya 2 but puotor ya 1 wanasema kama unavyodai jamani hiii ni haki yetu inatakiwa hii hela tuondoke nayo .Ndugu zangu tushikamane pamoja tutashinda
Mkuu kwa ulivyosema ni kweli ila ni kwa MAZOEA ..hata mwanzo tulikuwa tunaambiwa hivyo lakini mpka sasa pesa yangu iniangia kesho bank..hivyo naamini nikifight nitapata pesa yangu ontime .sio kama ilivyozoeeleka ..mm naamini ndo ntafanya ibadilike wasifanye kazi kwa mazoeaPunguza mchecheto pesa yako itaingia na quarter 3 ndio hua kawaida maana kuna memorandum of understanding kati ya bodi na chuo kua pesa inarudshwa bodi baada ya miez mi3 ndio processing ya kuhamisha inaanza kwaio shuruba ya kuhama chuo bila kupitua tcu ndio hioo unakaa semester nzima bila boom na mbaya zaidi kama chuo chako ulichohamia hawafatilii
Mkuu umeongea point ..nimektunia kwa privateMkuuu [HASHTAG]#Avi[/HASHTAG] jnr ni Pm namba yako tupange mchakato namna gani tupambane siku zote akili ndogo haiwezi tawala akili kubwa naamini boom wiki hili la pili tutasaini heti wanadai return bado mkopo wangu ulienda hapo tu udsm nikamuuliza unatambua Dada wajibu wako akajibu ndio nikatikisa kichwa nikamuambia j5 ntarudi naomba uandae sababu za kisayansi sio majibu laini hivo
Yaaaah sidhan km mwanafunzi makni bado silitambui iloo mkuu.najua namna ya kupanga ratiba yangu b'cose sishind wala kulala HELSBfuatilia pesa lakini ukumbuke na kutenga muda wa kujisomea, coz chuo si mchezo vinginevyo utadisco na hiyo hela hautoipata tena
Vp, niny mmepata lin pesa ya transfer!? Maana sis bado huku Mwanza Sautfuatilia pesa lakini ukumbuke na kutenga muda wa kujisomea, coz chuo si mchezo vinginevyo utadisco na hiyo hela hautoipata tena
Brother mbona kimya jaman! Niny mmepata lin pesa!fuatilia pesa lakini ukumbuke na kutenga muda wa kujisomea, coz chuo si mchezo vinginevyo utadisco na hiyo hela hautoipata tena