Boom boom boom kwa vyuo vya Afya MUHAS, IMTU, BUGANDO(CUHAS), Kairuki(HKMU)

Harnandez

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
408
344
Kwa masitikiko makubwa hivi bodi kwanini hawajawapa wanafunzi wa hivi vyuo fedha za kujikimu mpaka sasa zilizopaswa kutolewa mwezi wa tano???!! Mnafikiri watoto hao wanaishi vipi na katika hali gani????!! Hapa kazi tu na njaa yote hii ukizingatia vile vyuo ni vya madaktari na wananyanyaswa namna hii mseme kama pesa hakuna tujue moja vyuo vifungwe. Siyo ukienda bodi wanasema pesa iko wizarani ukienda wizarani iko hazina. Ukirudi hazina iko bodi sasa tuelewe nini. Nawasilisha
 
poleni embu viongozi wa wanafunzi mliokosa boom mpaka sasa wasilianeni na waziri wa elimu muone atasemaje
 
Masomo yenyewe magumu huku uhangaike na kutafuta pesa ya msos tunahal mbaya sana kwakwel
 
1467396875750.jpg
Huku bugando (Cuhas) kupitia serikali ya wanafunzi CUHASSO wamebandika hilo tangazo leo jioni tunaleteana siasa kwenye mambo ya msingi I hate this government
 
1467397051144.jpg
Huku bugando (Cuhas) kupitia serikali ya wanafunzi CUHASSO wamebandika hilo tangazo leo jioni tunaleteana siasa kwenye mambo ya msingi I hate this government
 
Poleni Sana wakuu! Sisi TIA Leo tumeletewa sheets hiyo ni baada ya kutishia kugoma na kuleta taharuki chioni. Sema hakika vyuo vingi vya private wakisikia mambo ya mgomo ni kufukuza tu.
 
Poleni Sana wakuu! Sisi TIA Leo tumeletewa sheets hiyo ni baada ya kutishia kugoma na kuleta taharuki chioni. Sema hakika vyuo vingi vya private wakisikia mambo ya mgomo ni kufukuza tu.
Yaan tatizo sio karatasi walete pesa Cuhas wameshasign lakini mpaka leo pesa hamna
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom