Uzuri wake sio mchoyo ila huwa hatoi ofa hovyo hovyo ni hadi asuuzike.... Sasa unafanyaje ili asuuzike upate hiyo ofa..... ndo quiz yenyewe hiyo.
😂😂inaelekea shost udogoni hukubebwa wewemm hata akiniangusha sawa tu ilimradi nibebwe tu
ha ha ha ha,mapenz ni matamu sana na hii baridi, mko wawili mnapata nyama choma kinywaji kwa pembeni,mziki laini unajikuta kutamani kuishi miaka 200
Ndio hivyo mkuu,tutafute ela tuishi maisha matamu;dunia bado ina vitu vingi vizuri.acha kbs nimewah kutana na hali hyo😊😊 mvua kubwa inanyeshaaaa kinywaj kitamu sehem claasiq hakuna kelele mpo peke yenu ni madege tu dadek
Hahahahainaelekea shost udogoni hukubebwa wewe
Ndio hivyo mkuu,tutafute ela tuishi maisha matamu;dunia bado ina vitu vingi vizuri.
Nonsense
His senses are enough to cover my nonsense after all he adores me with my nonsense.
K' Matata.