Mbilimbili
Senior Member
- Mar 17, 2012
- 172
- 19
Za asubuhi wadau wa hapa ndani. Kwa mnaotumia line za voda kama mimi, naomba mnijuze bonus wanazotoa kwenye M_pesa na ile waliyotoa weekend inatumika saa ngapi? Sababu niko na bonus zote mbili lakini nikipiga sim naambiwa niongeze salio.