ukwaju_wa_ kitambo
Senior Member
- Sep 15, 2024
- 155
- 182
Bonta Maarifa ni Katibu wa Afya Halmashauri ya Ushetu Wilaya ya Kahama, Mkoa wa Shinyanga.
Makazi yake ni Kahama Mjini maeneo ya Igomero (Masaki).
Lakini pia ni member wa Crew ya Weusi kampuni , crew ambayo ina wasanii kama Vile joe makin, nikk wa pili, lord eyez na G nako..
Bonta maarifa kutoka A town city Arusha alijaribu kuieleza jamii kuhusu sera za viongozi mafedhuri wa kisiasa nyakati za uchanguzi , wanapo kuja jimboni na kuwalaghai wananchi kwa kupitia fedha na mavazi ( rushwa) ili wananchi waweze kuwapa tena kura ambayo kwa kiongozi inakuwa ni kama ticket ya kumfanya arudi bungeni kwa miaka 5..
viongozi wengi wa kisiasa hupenda kuja katika majimbo yao nyakati wa kampeni kwaajili ya kuomba kura tu kwa wananchi na si kingine na pindi tu Pale uchanguzi unapokwisha viongozi hao urudi mjini na kuwaacha wananchi wakiteseka ndani ya miaka 5 ..
Ndio maana bonta katika wimbo huu wa " nauza kura yangu" katika ubeti ( Verse1) anajaribu kutaja changamoto alizopotia katika maisha kutokana hali ya kimaendeleo kuwa duni katika eneo lake kutokana na uongozi mbovu wa viongozi . Viongozi ambao wameshindwa kuleta maendeleo katika maeneo pamoja na huduma za msingi katika jamii mfano sekta ya elimu na afya pamoja na miundombinu maalum katika jamii kama umeme , maji na barabara.
Kamaa hivi..
Hospital iwe mlangoni maji safi yaje mdomoni/
Sitaki Rushwa ya mfukoni/
Nataka maendeleo siwezi sema pembejeo/
Kosa nililofanya sitaki kurudia leo/
Na ndo maana nimesimama tena strongest kama cheo/
Shangazi dogo alifariki kwa kuzalia nyumbani/
Zahati ilikuwa mbali na baiskeli ilikuwa mbovu/
Katika Verse 2. Bonta anadai atoweza kukosea kumpa kura kiongozi kwa sababu ya rushwa kutoka kwa kiongozi kama kupokea rushwa ya kofia , kanga pamoja na chakula aina ya pilau.
Gear inayotumika sana viongozi hasa siku moja kabla ya uchanguzi mkuu . Vijana, kina mama kwa wazee hupewa vitu hivi kama sehemu ya rushwaa na wengi wao hupokea na mwisho wa siku huwapa kura viongozi hao mafedhuri na kupelekea kuteseka kwa miaka 5 kwa ukosefu wa maarifa.
Sitaki tena pilau wala vipande vya kanga/
Sitaki tena sabuni wala kofia za Yanga/
Nataka kuuza kula yangu thamani ya Diamond 💎/
Awe tayari kuinunua..!!!
Lakini pia katika hi hi verse anadai wawekezaji wanaokuja Bongo wanacho wekeza hapa Bongo no tofauti kabisa na kiwango ambacho wanaotakanacho ndio akawa ametoa mfano.....
Anakupa mswaki kesho ana ku ng'o jino/
Wana chimba madini sisi wanatuachia mashimo/
Pia anadai taifa letu la Tanzania wengi ( wananchi?) Ni masikini
Wabishi wa mlo mmoja , Ugali
kipande cha ngisi/
Umasikini wetu sisi /
Tuna nuka zaidi ya mzonga wa fisi/
Viongozi pamoja na familia zao kwenda kutibiwa nje za nchi tofauti na wananchi wa kawaida wanaokwenda kwenye hizi hospital za vijiji na kata zenye huduma mbovu zinapolekea kuwepo na vifo vya kina mama na watoto kila siku , tiba siziso faa hospital zenye ukosefu wa dawa nk..
Check up waende London.. !!
Waache tu..!!
Mwana nyamala yetu sisi /
Wabishi wa kambi ya fisi/
BONTA - NAUZA KULA YANGU..
Verse.. 1.. ( bonta)
Pale kwa bibi pa fanane na Arusha" Nitauza"/
Pale kwa bibi pa fanane na ilala" Nitauza"/
Pale kwa bibi pa fanane na mwanza mwanza " Nitauza"/
Pale kwa bibi pa fanane na kinondoni
"Nitauza

Siwezi ondoa hili kovu/
Kwa moyo wa masikini kama mimi mwenye tovu/
wa nidhamu ya Uonga wa kuzungumzia wokovu/
Wa ukweli migomo haikwishi maana shirika la reli/
Aaah..!! Q sema kweli..
We have to look at people
Beyond are colour
Beyond the region
Beyond their tribe
Just to see the true nation
Tunatembea juu ya mbigili na kokoto /
Mnatembea juu ya zuria jekundu/
Ni Rangi ya damu yetu wa Tanganyika wa kigoma/
Ni Rangi ya damu yetu wa Tanganyika wa Ruvuma/
Ni Rangi ya damu yetu wa Tanganyika wa mtwara/
Hawataki kuongea wana nena tu kwa ishara/
Achana na sala sala promo nmnayopata kubwa zaidi ya stoper R /
Leteni basi ma Conscious kidogo twende sawa../
Chorus (bonta)

Nauza kula yangu ( Shilingi ngapi)
Nauza kula yangu ( Shilingi ngapi)
Nauza kula yangu ( Shilingi ngapi)
Nauza kula yangu( Shilingi ngapi)
Shilingi ngapi..??
Shilingi ngapi..??
Verse..2 ( Bonta)

I can't let my a account God to dogs
Sababu wataniuwa
Malima wa kigoma hii pumzi wataichukua /
Na haitorudi tena kama koliba ilivyokuwa/

Nitauza kula yangu bwana mkubwa ukiona hilo/
sababu ndo imefanya hata sugu akazinduliwa/.
Listen my Presence africans freedom does not stop at political independence we have to cross orders to see what next
Niwekwe kizuizini kama chief wa bihora wa mashudi /
ikipindi sina budi /
Sababu mtanzania ameonewa makusudi/
future is not Good /
Awezi kuona mbele hata yesu akirudi/
Tongotongo la zege limetanda toka juzi/
Wanazipa kwa juu chini moshi unafuka/
Wanaongea sana bila koma wa nukta/
Wanapaka mafuta...

Hip hop it is Always short like a woman's dress 👗 to a check those whoa a interested, and it's long to cover society problems let's tracks and cover them see man's dress 👗 short and long
This is lever cup live baby..

Shilingi ngapi..??..
Ukwaju wa kitambo
0767 542 202