Bongo wamejaa nyoro nyoro

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,635
729,551
Huwa nacheka sana nikisikiliza story za vijana wa kibongo eti wao ni mafighter au wamehustle sana! Labda kwa kufanywa punda hapo sawa ama kuwa wabeba box
Sijawahi kusikia wabongo wamekamatwa kwenye container kama wasomali au wahabeshi wakiwa wameshonwa hasa bila hewa ya kutosha maji wala chakula
 
kila mmoja ni fighter kulingana naupeo wake wa kuwaelewa ma fighter,ila kama unawajua ma fighter kwelikweli huwezi paza sauti mbele ya wanaume kuwa wewe ni fighter
 
Kipindi nasoma primary ndoto zetu zilikuwa ni kuzamia meri maana kulikuwa na mastolo away kibao Enzi hizo.. So ni sawa na Hawa wasomali na waethiopia kipindi hiki Tabia za binadamu zinafafana tu. Sikuhizi huwezi zamia meri CCTV cameras kola kona utashikwa zamani hazikiwepo... Meri za kuzamia zilikuwa za waturuki ila wakikunasa wanakupa Kazi baadae wakawa wanawala kiboga na kuwatosa baharini kuna Wa bongo waliweza kusurvive wakaja kuhadithia story... Ukakamavu na unyoronyoro ni maamuzi tu mleta Mada hakika ni mzembe Fulani...
 
Kipindi nasoma primary ndoto zetu zilikuwa ni kuzamia meri maana kulikuwa na mastolo away kibao Enzi hizo.. So ni sawa na Hawa wasomali na waethiopia kipindi hiki Tabia za binadamu zinafafana tu. Sikuhizi huwezi zsmia meri CCTV cameras kola kona utashikwa zamani hazikiwepo... Meri za kuzamia zilikuwa za waturuki ila wakikunasa wanakupa Kazi baadae wakawa wanawala kiboga na kuwatosa baharini kuna Wa bongo waliweza kusurvive wakaja kuhadithia story... Ukakamavu na unyoronyoro ni maamuzi tu mleta Mada hakika ni mzembe Fulani...
nimependa hapo mwisho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom