and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,114
- Thread starter
-
- #21
You nailed it. Yaani chuki dhidi ya PhDWabongo wanataka mwenye PhD awe na mawazo kama yake wa darasa la saba.
Yaani wanataka wafanane mawazo, bila hivyo mara ni msaliti, mara PhD fake au elimu haija msaidia.
Mtu unalazimisha wa PhD awe na mtazamo kama wako wa darasa la 7.
More than poaNje ya mada kidogo! Kwa asilimia kubwa Bongo tunasomea mambo kwa kuiona fursa. Vipi kibongo bongo hiyo fani iko poa (aquatic science)?
Yaani imefikia mtu akiumwa malaria huko kwao Nanjilinji anatupia lawama PhD holders nchiniKuna jamaa kasema hapo juu, tatizo la wabongo tunataka wa PhD wafikiri kama 'nyie' wa darasa la saba, wakifikiri kiPhD ndio comment kama yako mkuu zinakuja.
Kukimbia umande ni chaguo.
Ukweli ni kwamba, wabongo wengine wenye Ph.D wana ulimbukeni.Hii imekaaje? Yaani ukimbie umande mwenyewe wakati mwenzako kakomaa mpaka kapata PhD halafu unanuna?
Tuache ghilba na chuki dhidi ya wasomi wetu. Kama hatukupata nafasi ya kusoma mpaka PhD tusiendekeze chuki itazidi kutuumiza sisi Kiwango Duni (KIWADU).
Mwakyembe umeyataka mwenyewe lakiniHii imekaaje? Yaani ukimbie umande mwenyewe wakati mwenzako kakomaa mpaka kapata PhD halafu unanuna?
Tuache ghilba na chuki dhidi ya wasomi wetu. Kama hatukupata nafasi ya kusoma mpaka PhD tusiendekeze chuki itazidi kutuumiza sisi Kiwango Duni (KIWADU).
Usihaingaishe kichwa mkuu,Mwakyembe ana Ph.D ya unafiki hakuna kingineUkweli ni kwamba, wabongo wengine wenye Ph.D wana ulimbukeni.
Wanaona kama kuwa na Ph.D ndiyo mwisho wa mjadala.
Wakati si kweli.
Sasa mtu kama Mwakyembe anabishana na Roma, si kwa hoja, bali kwa kulinganisha namba za degree.
Mpaka hapo namuona Mwakyembe ni limbukeni wa elimu.
Kwa sababu mtu aliyeelimika anajua kwamba hata mwalimu hufundishwa na wanafunzi wake.
Ulimbukeni wa Ph.D unachangia sana watu kuona kwamba hao wenye Ph.D hawana lolote.
Sehemu ambazo wameendelea kielimu huwezi kusikia Dr. Condoleezza Rice, Dr. Susan Rice, Dr. Robert Gates anabishana na mtu kwa kusema yeye ana Ph.D. Atabishana kwa hoja tu.
Ukianza kubishana na mtu kwa kusema "mimi nina Ph.D" una invoke authority badala ya ku invoke reason. Unalazimisha kwamba Ph.D yako itakufanya uwe sawa kila mara, kitu ambacho si kweli. Fundi wa gari aliyeishia darasa la saba anaweza kujua mambo mengi zaidi kuhusu injini ya gari kuliko mwanasheria mwenye Ph.D.
Bob Marley hana hata degree moja. Lakini nyimbo zake zinajadiliwa mpaka leo. Watu wanazitumia kwenye kupata Ph.D.
Shakespeare hakuwa na Ph.D, lakini tungo zake mpaka leo zinatumika na watu wanaopata Ph.D.
Tunaheshimu usomi. Sitaki kusomeka kama watu wa Cambodia ya Pol Pot waliochukia usomi. Lakini usomi halisi ni zaidi ya degree. Tusifupishe kwamba usomi ni namba za degree. Kuna watu wengine wana Ph.D, lakini ukiwasikiliza wanaongea mpaka uambiwe hiyu ana Ph.D ndiyo utajua. Kwa sababu hawana gravitas ya Ph.D katika kujieleza.
Kufupisha habari kwamba usomi ni namba ya degree ni ulimbukeni katika usomi.
Mtu anayesema hivyo anaonekana kama ni wa kwanza kwao kusoma, bado analimbuka tu.
Si kazi ya PhD kusolve matatizo yote ya jamii. Maana ya PhD ni mtu ambaye ana jifunze kila wakati kutoka kwa msomi hata na ambaye hajawahi kuingia darasa! Hivyo tunategemea mwenye Phd asiukwaze uongozi kwa kuropoka bali kutumia hekima za kujenga hoja kutegemea na nani anawasiliana naye. Vijana jiongezeni Mpate Phd.Cha ajabu bunge letu PhD na Profesa za kumwaga lakini watu wanaoishi karibu na Ziwa Victoria wananunua maji ya dumu, mniwie radhi kama sijaeleweka.
Cha ajabu bunge letu PhD na Profesa za kumwaga lakini watu wanaoishi karibu na Ziwa Victoria wananunua maji ya dumu, mniwie radhi kama sijaeleweka.
Hii imekaaje? Yaani ukimbie umande mwenyewe wakati mwenzako kakomaa mpaka kapata PhD halafu unanuna?
Tuache ghilba na chuki dhidi ya wasomi wetu. Kama hatukupata nafasi ya kusoma mpaka PhD tusiendekeze chuki itazidi kutuumiza sisi Kiwango Duni (KIWADU).
Kuna jamaa kasema hapo juu, tatizo la wabongo tunataka wa PhD wafikiri kama 'nyie' wa darasa la saba, wakifikiri kiPhD ndio comment kama yako mkuu zinakuja.
Kukimbia umande ni chaguo.
Bibie Nina masters ya aquatic Science kutoka uholanzi GPA ya 4.3, ningekuwa sipo kwenye kujiwekeza na kufanya mambo ya biashara zaidi sasa hivi ningekuwa na PhD na full scholarships zipo na nazipata daily. Kwahiyo nilichokiandika nakiamini na kukikubali. Mwakyembe ana PhD ya ujinga hawezi kukana somo thesis take kwasababu ya tumbo
Yaani imefikia mtu akiumwa malaria huko kwao Nanjilinji anatupia lawama PhD holders nchini
Hawachukiwi kwa sababu ya Phd (Pull her/him down) zao, bali wanachukiwa kwa kwa dharau na matendo yao yasiyo lingana na elimu yao.Hii imekaaje? Yaani ukimbie umande mwenyewe wakati mwenzako kakomaa mpaka kapata PhD halafu unanuna?
Tuache ghilba na chuki dhidi ya wasomi wetu. Kama hatukupata nafasi ya kusoma mpaka PhD tusiendekeze chuki itazidi kutuumiza sisi Kiwango Duni (KIWADU).
PhD ni PhD tu kila fani inamtegemea mwenzake.Wewe lete dharau wenzako wanatengeneza MaishaKuna mkuu wa mkoa wa Moro(PHD) ya mambo ya food security wkt Magu anaingia alitengua uteuzi wake jamaa likaanza kulia lia eti ooh eti hata yohana alimezwa kwny tumbo la samaki sijui nini nisamehe baba.Matunda ya PHD hayo
PHD-Permanent Head Damage
Kichomizi ni mwakyembe?Mwakyembe umeyataka mwenyewe lakini