Hivi wabongo mbona mna dharau ππππUsilinganishe na bajajji yako uliyoizoea mkuu
Hahahaha asante! Ulitakaje Mkuu??
Hadi umate umenitokaHahahaha inatakiwa kwenye hamsini unapita na 150 yaani Traffic akikukamata hadi afurahi. Last two months nilitoka Mkoani huko, nilikua na BMW X1, kwenye 50 nikapita na 140km/hr ghafla tochi! Jamaa anakuja kwanza akawa anafurahi kuwa speed ilikua tamu! Sio unakamatwa eti umezidisha speed tano, umekatwa na 55.
Ikiwa 160km/hr nyuma kulia, nikasikia hicho kishindo. Hata haikuyumba, mdogo mdogo hadi ikasimamaHadi umate umenitoka
Imefanya nini X6 boss?X 6 hiyo achana nayo kabisa
Inaonekana vijana hawana uzoefu na manual gearboxHata hiyo ya mjapan huwezi kuwa mwendo halafu gia ya reverse ikubali, ukiwa mwendo mkali tu upo namba 5 ujaribu kurudi 3 inakugomea sembuse reverse.
Hii tyre inaonekana ni used imekuja na gari kutoka Japan. Next time badilisha kwanza tyre kabla ya kuanza kufikiria kufuta kisahani la sivyo tutakupoteza mkuuIkiwa 160km/hr nyuma kulia, nikasikia hicho kishindo. Hata haikuyumba, mdogo mdogo hadi ikasimama
Ni kweli kabisa. Ilikua ni kosa kubwa sana nilifanyaHii tyre inaonekana ni used imekuja na gari kutoka Japan. Next time badilisha kwanza tyre kabla ya kuanza kufikiria kufuta kisahani la sivyo tutakupoteza mkuu
Hiyo yaani ukitembelea hata speed ya 350 tu.... Ndani ya dakika chache sana.... gari itawaka moto....
Apo Uwezekano wa kuua gia box Ni mkubwa mno.Naona gia ya Reverse imekaa kihasara. Fikiria ukikosea toka namba 7 hadi reverse!
Sent using Jamii Forums mobile app