Ilishakosa mvuto muda tu
Sikuhizi hawapo kwaajili ya kujaji uwezo wa vijana kuimba na hatimaye kuibua vipaji vyao
BSS ya sasa ipo kwaajili ya kudhalilisha vijana kutokana na uwezo au muonekano wao
Aidha, BSS ya sasa inawaweka watu wasio na uwezo wa kujaji, yaani Majaji wa hovyo, sasa kama Mpishi Shilole naye ni Judge unategemea nini?