Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Eeh tutakuwa hapa kuwakumbusha mbona. Afu tuassume basi hatotoboa. Hivi tusker project fame mbona ina vipaji vya kufa na washindi huwa wanastahili but ni mshindi yupi aliyetoboa kati yao kina alpha, hope, Ruth, davis etc? Kipaji tu pekee hakitoshi,... nyota, management na mengineyo mengi yanahusika pia. Kila la kheri kwa fonabo piaMi nilichofanya ni kukariri tu majina ya wanaosema kayumba hastahili,amependelewa,ohhhh sijui soon atapotea..Ntawatafuta..Muda utatwambia
Unaniumiza roho hapo daddy ukimwacha bella hakuna msanii nayempenda na anayejua kama barnaba boy, sijui nyota ndo tatizo
Ishafika top 3, kamaliza kuperform fridahHahhaha...ikifika tano bora nishtue
Amka umuone fonabo wako teh, ummalizie na KayumbaMweeeh!! Mie nishaingia kitandani.
interest?kwani wadhamini ndio waliompa ushindi kayumba au ni watanzania?
Kayumba alikuwa na juhudi tangu siku ya kwanza,angekuwa hajitumi hata mimi nisingemkubali.
Yote kwa yote kayumba ana nyota,watu wengi sana walikuwa wanamkubali mimi mwenyewe nikiwa mmojawapo,haya ya mdhamini hayana mashiko as long as kijana alikuwa na kipaji na bidii.