Bongo sasa wanagongesha magari kwenye treni

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
New+Picture+%2823%29.png
New+Picture+%2825%29.png
New+Picture+%2824%29.png


Ajali hii imetokea Kitunda Relini ambapo gari Toyota Rav 4 lilipogongana na kichwa cha treni. Hakuna viashiria vya kukatisha njia au uzembe wa dereva?
 
hali hii inasababishwa na watumiaji wa vyombo vya moto. Sijui ni lini tutaanza kutumia busara zetu?
 
Back
Top Bottom