Senator jr
JF-Expert Member
- Apr 3, 2016
- 367
- 496
Katika tafsiri na tafsida ya uhalisia wa kuigiza movie nzuri ambazo zinat3ka hisia za watu kuanzia low scale hadi high .. Tunajikuta kuwa nchi zenye teknolojia kubwa kama Uk, usa wako juu kwa changamoto kubwa ya suport kutoka goverment mpaka civilian..
Turudi bongo
Usaninii na sanaa ya bongo katika upande wa films umekuwa changamoto kubwa sana hii ni kutokana na machache ambayo naamini yakipitiwa tutafika mbali
1. Ukoloni katika sanaa
Kivipi
Ukiyaangalia mashirika ya sanaa bongo utakuta hawataki kuwa na wasanii wapya wanataka wale wasanii wakongwe hii inapelekea picha tofauti katika jamii kama zipi
Mfano
Nimeshazoea kila muv Jb anapenda ku act ni Boss , mapenzi, starehe kwa hiyo nakua kila muv kama yupo nimeshaielewa hata bila kuitazama..
2. Kashfa chafu kwenye sanaa hiyo..
Kama zipi .. Kashfa za ngono ,
Mfano .. Imekuwa na imeshajengeka kila anayeact movie ni malaya..
Kudhibitisha hilo ni mara ngapi kashfa chafu zinaandikwa kwenye magazet ya udaku kuhusu bongo muvie..
Mara uwoya,wema nk..
Hii inapelekea hata wazaz kukataa wanao kujiunga humo..
3. Creativity .. Mbinu za uigizaji au dhamira..
Kivipi...
Mara nyingi movie nyingi z8nahusu mapenz, umaskini , uchawi, mila lakini sijaona na kama zipo ni chache zinazohusu..
Ajira, Elimu , ufundi, Vita , mitindo, Ukulima, siasa, nk
..
4. Support katika serikali na jamii.
Lazma support iwepo ili kile kinachofanywa kithaminike hata na jamii..
Naishia kwa kusema Hongereni mlipofikia ila yafaa kujirekebisha
Hope of Jf
Cc
Senator jr