Huwa nangalia movies za wenzetu wa nigeria,ghana..n.k huwa wanajua kuact hadi unafikia mda mwingine unaanza kutokwa machozi jinsi wanavyocheza kwa ufasaha na kuvuaa nafasi halisi ya mtu husika.unafulahi kukaa na kuangalia movies njoo kwetu za akina kanumba,ray n.k ukweli ni uchafu mtu wanachukulia mambo juu juu..wabongo wenzangu kuweni serious na kazi mnazojifanya ili kufikia hatua za wenzetu..ni hilo tu..i will be back.