Hivi vikundi viwili kukutana uwanja wa taifa na kucheza mpira ni ishara kuwa katika utawala huu wa JK maisha bado si mabaya sana kama wanasiasa watoto wanavyodai.
Bongo fujo na Bongo bishoo wamedhihirisha hilo leo.
Kwa habari ya kufurahisha macho..oohhhh! zinapendeza sana!
Itakuwa nzuri kama tutajua wamefunganaje...
Lakini pia zimepatikana shiing ngapi kwaajili ya Gongolamboto!