Bongo Movie

Bongo Movie

Pozzers

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2013
Posts
337
Reaction score
560
Bongo movie hadi uchawi unachekesha badala ya kuogopesha tuna safari ndefu ya kufika level kubwa.
 
Hao jamaa ni shida aisee,jambazi anavua mdundo asichafue kapeti !..
 
Za kinaijeria uchawi zilikua zinatisha
 
Kuna movie moja ilirushwa DSTV yupo ray na Johari, scene inaonesha wanasafiri wanaenda Nairobi walipofika Hotelini huko Nairobi baada ya muda wanaonekana wapo Beach Baharini wakila bata(Ila bado wapo Nairobi) Tukajiuliza Hivi Nairobi kuna bahari?

Hivi movie tuwaachiage wasaidizi wa ndani 'house girls'.
 
Kuna kipindi tuliaminishwa bongo movie imekuwa.Fact
tulipomzika kanumba tulimzika na tasnia ya bongo movie
So sad.
 
Back
Top Bottom