Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,473
- 757
Kuna papmbano la hisani kuchangia waanga wa milipuko ya mabomu Gongo la Mboto kati ya wasanii wa filamu na wale wa muziki wa kizazi kipya hawa wakuu wa Bongo movie wakijifua kwujiweka sawa kwa pambano hilo....
NB: Nasikia Marcio Moximo kocha wa zamani wa Taifa Stars naye yumo kwenye kikosi cha Bongo movies team si unajua aliekti movie kadhaa hapa Bongo
NB: Nasikia Marcio Moximo kocha wa zamani wa Taifa Stars naye yumo kwenye kikosi cha Bongo movies team si unajua aliekti movie kadhaa hapa Bongo