Hiyo muvi ya mwaka gani?
Kwa kawaida muvi zinaenda kwa nyakati, kwa hiyo uliyosema itakua ni first blood 1 au ya 2 au ya 3, kipindi hicho na sisi tulishakua na muvi ambayo mtu mmoja anaangamiza kambi nzima inaitwa Shamba Kubwa, tukaja na The witness tukaja na Misukosuko. Hizo zilikua ni nyakati za kuonyesha Badassery.
Baada ya muda era ya badassery imepotea ndiyo maana Rambo 4 ameonekana akisaidiana na mercenaries.
Mkuu hiko ulichojiuliza kwa miaka ile ilikua hakuna kujiuliza hivyo ndiyo maana muvi kama hizo zikawezekana.Issue sio Movie ya Mwaka gani hapa tunazungumzia uhalisia!
Hata Miaka hiyo was it possible Mtu mmoja kuangamiza Kambi nzima kama alivyokuwa anafanya Rambo?
Bashite ni Nani?Tangu lini movement ya Bashite imewahi kufanikiwa??
wanam torture sana kisaikolojiaLengo lilikua kumtoa bashite k
toka mafichoni tu. Maana haandikwi kabisa ndio maana wakamtafutia kiki ile.
Ni kweli anahali ngumu kwa sasa kapoteza asilimia kubwa ya marafiki zake.wanam torture sana kisaikolojia
Huyo jamaa ndo hamna kitu kabisa, akajaribu shughuli nyingine ya kufanyaNimesema sitaki,sitaki,pumbaaaaavu !!! in RAY voice.Kama hujui kuigiza hujui tu,kelele za nini?
Ray yeye anajua kupayuka tuHuyo jamaa ndo hamna kitu kabisa, akajaribu shughuli nyingine ya kufanya
Nay aliwachana siku ile ile akajitokeza nani yule mdadakaka akasema anataka kupigana na ney dahNgoja watetezi wao waje
mkwara tu alichimbaNay aliwachana siku ile ile akajitokeza nani yule mdadakaka akasema anataka kupigana na ney dah
Hiyo movie ipoje? Hebu hadithia vzr tujue mfalme Chaupele alikuagaje?Nliona bongo movie flani ivi inaitwa chaupele, kama mtoto wa mfalme anakaa style hiyo, bas tena. Itungwe sheria ya kunilazimisha kutoa hela mfukoni ninunue movie.