Bongo movie: Mke wa hatari

Bongo movie: Mke wa hatari

Habari za leo
Tamthilia mpya ya kiswahili inaitwa "DHAMIRA" ni story inayo onyesha watu kijijini na mjini, jinsi wanavyo pigana kuboresha maisha yao katika mazingira na hali ngumu. Ni story yenye, action, mapenzi, uchawi na mengi zaidi! USIKOSE!
Waigizaji ; Jumaa Mtima, Prosper Kire, Halima Mualid, Asha Saidi, Yahaya Haisu, Christina Zakariah Na Tariq Ramadhani
 
Back
Top Bottom