Bongo movie industry haina direction.....!

I am bit confused here,are we discussing the performance ofour movies industry ,the way stake holders should socialize(sepetu's father burial) or how is ray and alike tarnishes the industry?
 
Kama mambo yenyewe ndiyo haya bora ulivyoamua kuachana nao ukaendelea na mambo yako mengine.

Sasa kama Ray ndiyo anakuwa namna hii je, kina Dr. Cheni na wenzake inakuwaje?! Bongo Movie ni kichwa cha mwenda wazimu.
Kabisaaaa na wala sina time nao tena; labda wanilipe! Na hata kunilipa sijui watanilipa shilingi wapi wakati movie iliyotengenezwa kwa TZS 20 million ni among of high budget movie to the point kwamba hata ukitumia standard rate za Hollywood za 3% to 5% ya production cost kwamba ndo alipwe Screenwrite; 5% ya sh. 20 million ni 1,000,000/-....yaani utumie about 3 months kuandika script kisha mtu akulipe Sh. 1 million!!!
 
stori zao ni zilezile, mwisho haueleweki, hakuna uhalisia wa maisha tunayoishi, muundo shaghalabagala yaani wanaact ili tu waingize filamu mpya sokoni kila siku japokuwa ni za hovyo.
 
Back
Top Bottom