Well said brother Excel BUT...
We (fans) always complain alot without suggesting what should be done. You've already told us (according to you) our severe viruses are these Big Sharks, so how will we eliminate them?
I am not here to blame wasanii, but all my blames are to these who call them self "Saidia Kukuza Uchumi wa Tanzania,,, STEPS INT" and all alike companies. They real exploit our film stars. I think it is a time for these wasanii to re-unite and leave the current organization Tolly Wood under JB an Ray. That is a setup.
Duh kama ray jamaa hana mpango kabisa wa kuendeleza sanaa yake ili ifikie kwenye stage za kimataifa,at least the late kanumba alijibiidisha kwa hilo,ila wengine bado sana, Ngoja nitoke machimboni niwaonyeshe nini maana ya sanaa,nini maana ya uigizaji
Kwa jinsi ninavyoona, kuna opportunity kubwa sana kwenye movie industry hapa Tanzania lakini kwa bahati mbaya fursa hii haijakuwa well exploited. Tatizo lililopo ni mtambuka; from bottom to the top....!!Habari zenu wadau!
kwa kweli naandika hapa kwa masikitiko makubwa. kila ninapolitazama soko la filamu TANZANIA, nasikitika saba mara sabini!
vijana wengi ambalo wamelikamata soko hili kwa kweli wengi wao wameliharibu soko! angalia viumbe hawa kama wema sepetu, irene uwoya, jack wolper na wengineo! what makes them survive? hivi kweli movie hizi ambazo unapewa laki sita kweli unaweza ishi bongo kwenye nyumba ya million 400?
ok, hasa nilichotaka kusema hapa, bongo movie ni chanzo cha ajira kama ilivyo nollywood, bollywood na hollywood katika mataifa mengine!
kinachoua soko letu hasa ni wasanii sisi wenyewe, hasa hawa giants kama ray, jb, wema, wolper, na wengineo! ukiangalia mfumo mzima wauendeshaji wa unit yetu ya bongo movie, ni mbovu mbovu mbovu!
hivi kulikuwa na haja gani kweli kutohudhuria msiba wa wema sepetu? eti wadau, hivi hawa wanatufunza nini sisi wasanii wachanga?
mimi ndoto zangu za kila siku ni kuja kufanya kazi hollywood!! iam praying to my GOD for that!
ipo siku mtamsoma mtanzanzia ndani ya
tumuombe MUNGU kwa hili!
Duh kama ray jamaa hana mpango kabisa wa kuendeleza sanaa yake ili ifikie kwenye stage za kimataifa,at least the late kanumba alijibiidisha kwa hilo,ila wengine bado sana, Ngoja nitoke machimboni niwaonyeshe nini maana ya sanaa,nini maana ya uigizaji
mchango wako nimeuelewa mkuu Secret Service. but who to bring changes endapo hawa wenyewe elimu zao ndio hizi
za kupiga picha za uchi?
binafsi, sanaa ya maigizo naipenda sana! sana tu! ila sasa ujapo wakati wa tafakuri, naona ni bora tu niishike elimu isiende zake!
sanaa ya bongo bwana inachosha!
suala la steps lina mkono mrefu, bila shaka hata 'serekale' nayo ina mkono! si bure!
Ray kaishia form two,kakulia umavini,,anajua kila kitu pale alipo ataki kujifunza chochote kipya..bado unategemea apeleke this shhit to the another level?
Ray kaishia form two? Naleta feedback...
Your search - "Vicent Kigosi" site: necta.go.tz - did not match any documents. Suggestions:
- Make sure that all words are spelled correctly.
- Try different keywords.
- Try more general keywords.
- Try fewer keywords.
Umetumia search engine gani? Kama umetumia Google jaribu kutumia na Bing then utuletee feedback. LOL!
P0379/0646 | M | VINCENT C KIGOSI | - | FLD | G/STUDIES-F ECONOMICS-S |
Halafu hapo kwenye subtitles sidhani kama wanafahamu maana mzima ya subtitles manake inavyoelekea ni kama wanadhani is all about translating Kiswahili to English huku wakisahau kwamba ikiwa mwigizaji ameongea English, hapo tena wanatakiwa kuweka subtitles za Kiswahili ili akina sie tufahamu Wema (Bibi Viingereza) amesema nini!!Bongo movie zimeshikwa na watu wasio na taaluma za sanaa. Huwezi kutegemea something good out vihiyos. Sio kwamba wasomi wa saana za maigizo hatuna wapo wapo wanafuga kuku wa mayai.....! Tazama kina kingwendu, steve, bambo, mtanga wote hata kidato cha nne sijui wanajitahidi hivo hivo...
Teli kina wolper, uyowa, wepa, ray nani kaenda shule hapo? Wenzetu wanatambua bila elimu kwenye fani hufiki mbali...! Angalia ma star wakubwa wa Hollywood Denzel, T-bag nk.nk wote wapiga shule
Kinacho niuma zaidi bongo movies ni hizo subtitles uuuuuuwi majanga matupu mwanzo mwisho..unabaki unajiuliza hii movie ilikuwa na director na editors kweli....
Story...professionalism. ...movie inavyo isha uuuuuuuh!
And that is what you call ur stars wanakaa nyumba za kupanga kila siku tunawaona wamebebwa kwenye boda boda.......
Cheki via Bing.
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
ACSEE 2010 EXAMINATION RESULTS
P0379 MGULANI J.K.T. CENTRE
DIV-I = 1 DIV-II = 3 DIV-III = 36 DIV-IV = 37 FLD = 54
P0379/0646
M VINCENT C KIGOSI - FLD G/STUDIES-F ECONOMICS-S
So nimemaliza nae form six au sio mwenyewe?
Labda aliishia form II through formal channels na baada ya hapo akaamua kuunga unga; kuja kushituka, hamadi; form six hiyo na zero juu!! Sema jamaa kajitahid, ana Economics S, na ilibaki kidogo tu G.S nayo angekula S.Nashukuru kwa Feedback mkuu Secret Service.
Atakuwa ndiye mwenyewe.
Kweli Bongo Movie magumashi, kaishia Form Two lakini mtihani wa Form Six kafanya.
Au mkuu matumbo alikuwa anazingua?
Labda aliishia form II through formal channels na baada ya hapo akaamua kuunga unga; kuja kushituka, hamadi; form six hiyo na zero juu!! Sema jamaa kajitahid, ana Economics S, na ilibaki kidogo tu G.S nayo angekula S.
Kama mambo yenyewe ndiyo haya bora ulivyoamua kuachana nao ukaendelea na mambo yako mengine.
Sasa kama Ray ndiyo anakuwa namna hii je, kina Dr. Cheni na wenzake inakuwaje?! Bongo Movie ni kichwa cha mwenda wazimu.