Bongo movie industry haina direction.....!

Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
19,694
9,969
Habari zenu wadau!

kwa kweli naandika hapa kwa masikitiko makubwa. kila ninapolitazama soko la filamu TANZANIA, nasikitika saba mara sabini!

vijana wengi ambalo wamelikamata soko hili kwa kweli wengi wao wameliharibu soko! angalia viumbe hawa kama wema sepetu, irene uwoya, jack wolper na wengineo! what makes them survive? hivi kweli movie hizi ambazo unapewa laki sita kweli unaweza ishi bongo kwenye nyumba ya million 400?

ok, hasa nilichotaka kusema hapa, bongo movie ni chanzo cha ajira kama ilivyo nollywood, bollywood na hollywood katika mataifa mengine!

kinachoua soko letu hasa ni wasanii sisi wenyewe, hasa hawa giants kama ray, jb, wema, wolper, na wengineo! ukiangalia mfumo mzima wauendeshaji wa unit yetu ya bongo movie, ni mbovu mbovu mbovu!

hivi kulikuwa na haja gani kweli kutohudhuria msiba wa wema sepetu? eti wadau, hivi hawa wanatufunza nini sisi wasanii wachanga?

mimi ndoto zangu za kila siku ni kuja kufanya kazi hollywood!! iam praying to my GOD for that!

ipo siku mtamsoma mtanzanzia ndani ya
images

tumuombe MUNGU kwa hili!
 
Sanaa bongo magumashi.
Mtu anaigiza miaka zaidi ya 10 na ana jina kubwa ila anaishi kimagumashi
 
Well said brother Excel BUT...

We (fans) always complain alot without suggesting what should be done. You've already told us (according to you) our severe viruses are these Big Sharks, so how will we eliminate them?

I am not here to blame wasanii, but all my blames are to these who call them self "Saidia Kukuza Uchumi wa Tanzania,,, STEPS INT" and all alike companies. They real exploit our film stars. I think it is a time for these wasanii to re-unite and leave the current organization Tolly Wood under JB an Ray. That is a setup.
 
Last edited by a moderator:
Duh kama ray jamaa hana mpango kabisa wa kuendeleza sanaa yake ili ifikie kwenye stage za kimataifa,at least the late kanumba alijibiidisha kwa hilo,ila wengine bado sana, Ngoja nitoke machimboni niwaonyeshe nini maana ya sanaa,nini maana ya uigizaji
 
mchango wako nimeuelewa mkuu Secret Service. but who to bring changes endapo hawa wenyewe elimu zao ndio hizi

za kupiga picha za uchi?

binafsi, sanaa ya maigizo naipenda sana! sana tu! ila sasa ujapo wakati wa tafakuri, naona ni bora tu niishike elimu isiende zake!

sanaa ya bongo bwana inachosha!

suala la steps lina mkono mrefu, bila shaka hata 'serekale' nayo ina mkono! si bure!
 
the late kanumba was good! alikuwa na mipango mikakati mingi compared to this who is so called ray!

jamaa naona anapiga tu kelele na sauti kuuuuubwa kwenye tv! elimu inahusika sana katika uendelezaji ama ukuzaji wa jambo lolote!

sasa ray naona yuko busy na johari
 
Habari zenu wadau!

kwa kweli naandika hapa kwa masikitiko makubwa. kila ninapolitazama soko la filamu TANZANIA, nasikitika saba mara sabini!

vijana wengi ambalo wamelikamata soko hili kwa kweli wengi wao wameliharibu soko! angalia viumbe hawa kama wema sepetu, irene uwoya, jack wolper na wengineo! what makes them survive? hivi kweli movie hizi ambazo unapewa laki sita kweli unaweza ishi bongo kwenye nyumba ya million 400?

ok, hasa nilichotaka kusema hapa, bongo movie ni chanzo cha ajira kama ilivyo nollywood, bollywood na hollywood katika mataifa mengine!

kinachoua soko letu hasa ni wasanii sisi wenyewe, hasa hawa giants kama ray, jb, wema, wolper, na wengineo! ukiangalia mfumo mzima wauendeshaji wa unit yetu ya bongo movie, ni mbovu mbovu mbovu!

hivi kulikuwa na haja gani kweli kutohudhuria msiba wa wema sepetu? eti wadau, hivi hawa wanatufunza nini sisi wasanii wachanga?

mimi ndoto zangu za kila siku ni kuja kufanya kazi hollywood!! iam praying to my GOD for that!

ipo siku mtamsoma mtanzanzia ndani ya

tumuombe MUNGU kwa hili!
Kwa jinsi ninavyoona, kuna opportunity kubwa sana kwenye movie industry hapa Tanzania lakini kwa bahati mbaya fursa hii haijakuwa well exploited. Tatizo lililopo ni mtambuka; from bottom to the top....!!

Kwanza kabisa wadau wameshindwa kutoa filamu zenye ubora matokeo yake wasanii wanaamua kujipaisha kutokana na scandals badala ya ubora wa kazi zao. Wao wanaamini kwamba Scandals zinawafanya wawe juu huku wakisahau kwamba scandal zinawafanya wakose serious financiers kwenye project zao. Kukosekana kwa serious financiers matokeo yake kunasababisha kuwa na low budget movies....kwanza kabisa ukishakuwa na low budget movie utashindwa kumlipa Screenwriter wakati script ndio msingi wa mwanzo kabisa wa filamu. Ukishakuwa na script ya hovyo hovyo, hata ukichukua waigizaji magwiji kutoka Hollywood bado filamu itakuwa mbovu unless Director afanye kazi ya ziada kuifumua original script na kutengeneza production script ambayo itakuwa na utofauti mkubwa na original script. By the way, ikiwa umeshindwa kumlipa Screenwriter mwenye uwezo sijui ni namna gani unaweza kumlipa vizuri Director mwenye uwezo ambae si tu kwamba awe ni Director mzuri bali pia ni mwandishi mzuri mwenye uwezo wa kusahisha makosa ya screenwriter!!! Mbaya zaidi, wasanii wenyewe wana mapozi kwa watu wasiowafahamu....kuna wakati fulani niliamua nimwandikie msanii mmoja one script for free; matokeo yake mimi sasa ndo nikawa nalazimika kumtafuta yeye huku kila wakati akitoa hudhuru usio na maana; nikaachana nae na sasa nimeamua kugeukia soko lingine, na Insha'Allah naamini huko kazi itafanyika.

Wasanii(kv ndio wanaonekana hata kama wao ni watu wa mwisho) wakishabadilika, industry ita-attract serious financiers. Hata USA, ma-Producer wengi huwa wananunua(in fact ku-option) script huku wakiwa hawana hata funds za kutengenezea filamu husika! Lakini akishapata script iliyoenda shule, hapo anakuwa na uhakika wa kupata financier wa kuhakikisha film inakuwa produced....financier haoni taabu ku-invest millions of dollar kwenye project kwavile anafahamu he's investing his money to serious people who mean business.
 
Duh kama ray jamaa hana mpango kabisa wa kuendeleza sanaa yake ili ifikie kwenye stage za kimataifa,at least the late kanumba alijibiidisha kwa hilo,ila wengine bado sana, Ngoja nitoke machimboni niwaonyeshe nini maana ya sanaa,nini maana ya uigizaji

Ray kaishia form two,kakulia umavini,,anajua kila kitu pale alipo ataki kujifunza chochote kipya..bado unategemea apeleke this shhit to the another level?
 
mchango wako nimeuelewa mkuu Secret Service. but who to bring changes endapo hawa wenyewe elimu zao ndio hizi

za kupiga picha za uchi?

binafsi, sanaa ya maigizo naipenda sana! sana tu! ila sasa ujapo wakati wa tafakuri, naona ni bora tu niishike elimu isiende zake!

sanaa ya bongo bwana inachosha!

suala la steps lina mkono mrefu, bila shaka hata 'serekale' nayo ina mkono! si bure!

kushabikia bongo movie inahitaji moyo kaka. ndio hivyo sasa tutafanyaje.

unajua kwanini movie za kihindi zinaongozwa kwa kuangaliwa na watu wengi duniani? sio kwasababu zinasambaa worldwide, ila reason kubwa ni kwamba wahindi wanawapa support kubwa sana actors wao. na ukichukulia wajamaa wako wengi (1.5B+) basi zinaonekana kama zinaangaliwa saaaaaaana.

same to USA. wale jamaa wanajikubali sana na wana slogan yao ya "God bless America". wanajali na kuthamini sana vitu kutoka kwao. nikitoka nje ya topic, utaona kwanini Apple Smartphones iPads na Computer zao zinaonekana sana kwenye movie za kimarekani. yote ni kusupport tu bidhaa zao.

:focus:

sisi wabongo tuna expect mambo makubwa kutoka kwa wasanii wetu wakati uchumi, technology na mazingira plus support haviruhusu. ndio maana utaona zombie anavuka barabara huku anaangalia left and right. au mtu anagongwa na gari hafu damu zinazotoka daaah, ata mtoto mdogo kumshawishi kwamba hii ni damu inaweza chukua decades.

niki-summarize, vitu vya kufanya sisi kama washabiki ni hiki tu:
-Tuwasupport wasanii wetu kwa kununua sana cd zao original.

na wasanii wao wafanye haya:
-wajaribu kuigiza reality sometimes, sio majumba ghorofa 3 wakati sio maisha ya mtz wa kawaida.
-wakongwe wawape nafasi wale chipukizi ili competitio iongezeke.
-ubunifu zaidi.
-waunde shirikisho la bongo movie lenye mafanikio kwa wasanii wote na sio kwa watu wchache.
-wawasusie wale wadosi kama steps int wanaowaibia adharani. yaani wapunguze tamaa sio mtu unapewa vitz used hafu unakabidhi kazi yako yote.
-wawe serious na kazi yao. sio kujaribu. mara leo unaigiza, kesho unaimba, kesho kutwa wewe model wiki ijayo una kampuni la nini sijui... sijamsema wema sepetu.
-wawe kioo cha jamii. hafu wajue tofauti ya mfanya biashara, msanii na calebrity.

:kev:
 
Ray kaishia form two,kakulia umavini,,anajua kila kitu pale alipo ataki kujifunza chochote kipya..bado unategemea apeleke this shhit to the another level?

Ray kaishia form two? Naleta feedback...

Your search - "Vicent Kigosi" site: necta.go.tz - did not match any documents. Suggestions:

  • Make sure that all words are spelled correctly.
  • Try different keywords.
  • Try more general keywords.
  • Try fewer keywords.
 
Umetumia search engine gani? Kama umetumia Google jaribu kutumia na Bing then utuletee feedback. LOL!
 
Bongo movie zimeshikwa na watu wasio na taaluma za sanaa. Huwezi kutegemea something good out vihiyos. Sio kwamba wasomi wa saana za maigizo hatuna wapo wapo wanafuga kuku wa mayai.....! Tazama kina kingwendu, steve, bambo, mtanga wote hata kidato cha nne sijui wanajitahidi hivo hivo...
Teli kina wolper, uyowa, wepa, ray nani kaenda shule hapo? Wenzetu wanatambua bila elimu kwenye fani hufiki mbali...! Angalia ma star wakubwa wa Hollywood Denzel, T-bag nk.nk wote wapiga shule
Kinacho niuma zaidi bongo movies ni hizo subtitles uuuuuuwi majanga matupu mwanzo mwisho..unabaki unajiuliza hii movie ilikuwa na director na editors kweli....
Story...professionalism. ...movie inavyo isha uuuuuuuh!
And that is what you call ur stars wanakaa nyumba za kupanga kila siku tunawaona wamebebwa kwenye boda boda.......
 
Umetumia search engine gani? Kama umetumia Google jaribu kutumia na Bing then utuletee feedback. LOL!

Cheki via Bing.

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

ACSEE 2010 EXAMINATION RESULTS

P0379 MGULANI J.K.T. CENTRE

DIV-I = 1 DIV-II = 3 DIV-III = 36 DIV-IV = 37 FLD = 54

P0379/0646
MVINCENT C KIGOSI -FLDG/STUDIES-F ECONOMICS-S

So nimemaliza nae form six au sio mwenyewe?
 
Bongo movie zimeshikwa na watu wasio na taaluma za sanaa. Huwezi kutegemea something good out vihiyos. Sio kwamba wasomi wa saana za maigizo hatuna wapo wapo wanafuga kuku wa mayai.....! Tazama kina kingwendu, steve, bambo, mtanga wote hata kidato cha nne sijui wanajitahidi hivo hivo...
Teli kina wolper, uyowa, wepa, ray nani kaenda shule hapo? Wenzetu wanatambua bila elimu kwenye fani hufiki mbali...! Angalia ma star wakubwa wa Hollywood Denzel, T-bag nk.nk wote wapiga shule
Kinacho niuma zaidi bongo movies ni hizo subtitles uuuuuuwi majanga matupu mwanzo mwisho..unabaki unajiuliza hii movie ilikuwa na director na editors kweli....
Story...professionalism. ...movie inavyo isha uuuuuuuh!
And that is what you call ur stars wanakaa nyumba za kupanga kila siku tunawaona wamebebwa kwenye boda boda.......
Halafu hapo kwenye subtitles sidhani kama wanafahamu maana mzima ya subtitles manake inavyoelekea ni kama wanadhani is all about translating Kiswahili to English huku wakisahau kwamba ikiwa mwigizaji ameongea English, hapo tena wanatakiwa kuweka subtitles za Kiswahili ili akina sie tufahamu Wema (Bibi Viingereza) amesema nini!!
 
Nadhani ili mapinduzi ya kweli yaanze kutokea ni pale wadau wakubwa wa filamu kutoka nchi zilizopiga hatua kubwa ktk tasnia ya filamu watakapogundua Tanzania kuna soko zuri na kuamua kuwekeza hapa kwa kusimamia wenyewe hili soko ndio wazawa tutakapotia akili.

Hawa vijana wa sasa wamelewa majina na hasa Watanzania wengi kupenda kuangalia filamu za kiswahili kutokana na ufahamu mdogo wa lugha za nje (angalia soko la filamu zilizotafsiriwa za mkandara lilivyo kubwa) hivyo bila kujali viwango wananunua kazi zao tu na hawa wasanii wanaridhika kabisa huku wakiwa hawana mipango ya kujisimamia udhibiti wa ubora wa filamu,maadili na hasa professionalism.

Soko la Filamu haliwezi kwenda kama soko la Bongo fleva na sidhani kama kuunda vikundi visivyo na nguvu za kisheria vinasaidia zaidi ya kuzidi kuwagawa.Nguvu ya kisheria ya Bodi ya taifa ya Filamu ndio muhimu (sina hakika kama bado ipo).Lakini pia yatakapoundwa makampuni ya filamu yatakayoweza kuajiri wataalamu waliobobea kutoka nje inaweza kusaidia kuleta nidhamu na weledi ktk tasnia hii.
 
Cheki via Bing.

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

ACSEE 2010 EXAMINATION RESULTS

P0379 MGULANI J.K.T. CENTRE

DIV-I = 1 DIV-II = 3 DIV-III = 36 DIV-IV = 37 FLD = 54

P0379/0646
MVINCENT C KIGOSI -FLDG/STUDIES-F ECONOMICS-S

So nimemaliza nae form six au sio mwenyewe?

Nashukuru kwa Feedback mkuu Secret Service.

Atakuwa ndiye mwenyewe.

Kweli Bongo Movie magumashi, kaishia Form Two lakini mtihani wa Form Six kafanya.

Au mkuu matumbo alikuwa anazingua?
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru kwa Feedback mkuu Secret Service.

Atakuwa ndiye mwenyewe.

Kweli Bongo Movie magumashi, kaishia Form Two lakini mtihani wa Form Six kafanya.

Au mkuu matumbo alikuwa anazingua?
Labda aliishia form II through formal channels na baada ya hapo akaamua kuunga unga; kuja kushituka, hamadi; form six hiyo na zero juu!! Sema jamaa kajitahid, ana Economics S, na ilibaki kidogo tu G.S nayo angekula S.
 
Kama mambo yenyewe ndiyo haya bora ulivyoamua kuachana nao ukaendelea na mambo yako mengine.

Sasa kama Ray ndiyo anakuwa namna hii je, kina Dr. Cheni na wenzake inakuwaje?! Bongo Movie ni kichwa cha mwenda wazimu.
 
Hivi Dr.Cheni ni Doctor wa Medicine kabisa ile ya miaka mi-5 darasani au ndio wale wale kama Prof Ndumila Kuwili, Prof J, Prof Maji Marefu na Dr Remmy Hongara?:frusty:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom