Excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 19,743
- 10,073
Habari zenu wadau!
kwa kweli naandika hapa kwa masikitiko makubwa. kila ninapolitazama soko la filamu TANZANIA, nasikitika saba mara sabini!
vijana wengi ambalo wamelikamata soko hili kwa kweli wengi wao wameliharibu soko! angalia viumbe hawa kama wema sepetu, irene uwoya, jack wolper na wengineo! what makes them survive? hivi kweli movie hizi ambazo unapewa laki sita kweli unaweza ishi bongo kwenye nyumba ya million 400?
ok, hasa nilichotaka kusema hapa, bongo movie ni chanzo cha ajira kama ilivyo nollywood, bollywood na hollywood katika mataifa mengine!
kinachoua soko letu hasa ni wasanii sisi wenyewe, hasa hawa giants kama ray, jb, wema, wolper, na wengineo! ukiangalia mfumo mzima wauendeshaji wa unit yetu ya bongo movie, ni mbovu mbovu mbovu!
hivi kulikuwa na haja gani kweli kutohudhuria msiba wa wema sepetu? eti wadau, hivi hawa wanatufunza nini sisi wasanii wachanga?
mimi ndoto zangu za kila siku ni kuja kufanya kazi hollywood!! iam praying to my GOD for that!
ipo siku mtamsoma mtanzanzia ndani ya
tumuombe MUNGU kwa hili!