Weka picha mkuu tumfahamu.Baada ya marehemu Steven kanumba kufa Bongo movie ilipoteza mvuto wake
a kurudisha ubora wa bongo movie
ok sawaBaada ya marehemu Steven kanumba kufa Bongo movie ilipoteza mvuto wake
Ikapoteza ubora wake kwasababu ambao walibaki walishindwa kwenda na ubora ule ule marehemu kanumba alikuwa nao
Ndo kitu ambacho kilipoteza ubora na mvuto wa bongo movie..
Huyu dogo si comedian. Hizo movie za u serous ameanza kuzicheza lini mkuu?
Dogo nyumban Pemba au Unguja? 🤣🤣🤣
Ok mkuuMWIGIZAJI-mchekeshaji
View attachment 2781054
Duh, basi sawa
Movie zake zipi kali mpaka useme amerithi mikoba ya Steven Kanumba
Movie zake zipi kali mpaka useme amerithi mikoba ya Steven Kanumba