Bongo Movie (Combined) vs Safarina Movie

Kwani msanii Nguli kama Wolpa na ngazi za juu hawezi kuwasiliana na hao HOLLYWOOD wakaja kurekodi Bongo Movie? ili waachane na Camera za birthday party?
Pia tatizo sio huo uwezo wa kuwasiliana na kulipa. Swali kubwa ni je.... wanakwalifai kufanyakazi na hayo makampuni? UNIVERSAL hawawezi kukubali kuharibu reputation yao kwa pesa zenu. Watu wana ethics zao kwenye biashara zao. By the way. Kuna mwanafalsafa mmoja alisema, mafanikio hayafatwi ila huwa yanakuja yenyewe. Mkiwa vizuri holiwudi wanakuja wenyewe, wala huna haja ya kuwafuata.
 
Basi wajiongeze angalau tuanze kujenga "viwanda vya filamu" hapa hapa nchini. Na uzuri ATC watakuwa wanaruka moja kwa moja mpaka USA ilipo Hollywood basi tutarajia mafuriko ya kina Will Smith, Jay Z, Kim Kardashian hata Rihana kuja kucheza Bongo Movie.
 
Unataka kunambia hata mmoja whuyomwa huki holiwudi hawezi kudata na wolpa akachkua chance ya hamonaiza wakaamua kuja kufyatua kafilamu ka kikobongo kwa mamitambo yao huko?
mhhh WOLPA kitu gani ?? Watu wanafanya kazi na warembo wa dunia ya kwanza sembuse huyo
 
Tatizo bongo movie, kuanzia waigizaji hadi watengenezaji haiwachukulii tasnia ya filamu kama taaluma. Wao wakishapaga poda wanajichukulia wana vipaji vya kuzaliwa visivyohitaji elimu. Mwisho wa siku..........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom