Ng'ambo gharama za kodi kwa magari yalionza kuchoka ni kubwa. Isitoshe wanatengeneza wenyewe na bei ya kununua ni ndogo.
Ila kikwetu kwetu dah, hayo bado sana. Nakumbuka nikiwa sekondari shule ilikuwa na urafiki n shule moja ya norway, basi mkuu wa shule alivyoenda kule alirudi na tons and tons ya vitu vimeandikwa DISCARDED. Alirudi na viti, meza, Computer, vitabu na matakataka kibao.
Alisema kule alikuta vimefungwa vinaenda kutupwa basi akaviomba. Huku kwetu macomputer yale ndo yakafungulia computer room.