Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,289
- 72,518
inabidi wajifunze kanuni za uandishi na namna ya kuacknowledge andiko la mtuSahihi Mkuu na wanafanya kitu kibaya sana ambacho si cha Kiueledi na Kitaaluma.
inabidi wajifunze kanuni za uandishi na namna ya kuacknowledge andiko la mtuSahihi Mkuu na wanafanya kitu kibaya sana ambacho si cha Kiueledi na Kitaaluma.
inabidi wajifunze kanuni za uandishi na namna ya kuacknowledge andiko la mtu
Akili zako ka mume wa nifah.... Endeleeni wapumbaza hao hao ...Mkuu amini maneno yangu sifanyi Kazi huko na labda nikusaidie tu Blogs nyingi sana na hasa hasa TANZAGIZA hupenda Kukopi kila kitu changu humu hasa zile threads za Siasa na Ujasusi ila uzuri wao hawa huwa wananifanyia Mimi na JamiiForums Acknowledgement ila hawa Waswahili wengine hunikopi na kuweka Kwao huko na kujifanya kuwa wameiweka au wameianzisha Wao. Wananikera mno Mkuu.
utuliesio kila post mkuu...ni baadhi nipatazo chance
acha sifa we ndio una copy ukoHawa Waswahili sijui niwafanyeje kwani wanapenda sana Kukopi kila thread yangu ninayoianzisha humu JamiiForums halafu wanaponiudhi ni sehemu moja tu hawatoi Shukran ama Kwangu au kwa Mtandao wenyewe wa JamiiForums. Wangejua jinsi Mwanamume ninavyojipinda kuyatafuta haya matukio na kuyaleta humu nadhani hata Tuzo wangenipa. Hata Kukopi Kwao vitu Kwangu ndiyo wanazidi kunifanya niwe juu na GENTAMYCINE kuzidi kuwa " Talented and Charismatic ".
Ndio zao wabongo bana. Pia kuna email aliisoma diva wa ala za roho pia ilicopiwa kweye huu uzi![]()
cc GENTAMYCINE
acha sifa we ndio una copy uko
Wee jamaa kweli niniGENTAMYCINE ukuje huku sasa
Mume wangu kakukosea nini jamani? Sio kwa kumuandama huku [emoji24]Akili zako ka mume wa nifah.... Endeleeni wapumbaza hao hao ...
Anazingua...Mume wangu kakukosea nini jamani? Sio kwa kumuandama huku [emoji24]
Anataka mzgo huo hujajua tu?Mume wangu kakukosea nini jamani? Sio kwa kumuandama huku [emoji24]
Dahh...mwanangu umensaidia sanaaAnataka mzgo huo hujajua tu?
Haaaaaahaaaaaaaa poapoa dataaaaaaa!Dahh...mwanangu umensaidia sanaa
Jamaa nawe itakuwa kama yeye tu sema anakuwahi kidogo.we jamaa kama hewa upo kila mahali
Akili zako ka mume wa nifah.... Endeleeni wapumbaza hao hao ...
Daaah mwana tungekuwa tunajuana ningehisi labda unadhani namega demu/mkeo... Maana sio kwa "hate" hii....Mume wangu kakukosea nini jamani? Sio kwa kumuandama huku [emoji24]
Daaah mwana tungekuwa tunajuana ningehisi labda unadhani namega demu/mkeo... Maana sio hate "hate" hii....
Kila siku lazima uongee vitu negative kuhusu Mimi... Vipi kwani ninja??
Aaaaaaaa aaaaaa tulieni kwanza,nataka niunde tume ya kumchunguza ndo ntawapa taarifaHalafu comment yake ni lazima uikute kwenye top 5.
Hahah daaahh!! Good point...Tatizo ni kwamba umemchukua Demu Nifah kirahisi ambapo yawezekana Yeye kasota muda mrefu kwa kuwa Sumuless na Domo Kitofa hivyo it is so obvious kuwa lazima tu atakuwa anakuchukia Brother. Bora sisi tulio date na Migari yetu ya Mikaa ukininunia afadhali na ukinitongozea nitashukuru vile vile ili tugawane shida vizuri.
This Guy Is Creepy. Kama Ana Alarm *****.we jamaa kama hewa upo kila mahali
Hahah daaahh!! Good point...
Ujue shemeji huwa nawafahamu watu kadhaa wanaomchukia Bold kwa sababu hii ila sikujuaga kama huyu Ninja naye yumo...
Nifah wako naye tu kila siku enzi hizo, badala watupie voko wao wanabishana tu kuhusu Kiba VS diamond... Mara Cdm VS Ccm..
Shushushu mbobezi sitakagi masihara mimi!!