Bongo Lounge in Guangzhou, China

Sisi wataalam wa china, pale Guangzhou tunakula chakula cha kibongo long time����
Ukiingia kwa dada Kulwa pale tinxiu building ugali na vikorombwezo vyote vinapatikana muda wote na kama msosi umeisha basi unapikiwa.

hotel zote za vichocholoni zimefungwa hata sisi tulianzia hapa gorofa 27 lakini hotel zote zimefungwa za vichochoro zinatakiwa zinazotambulika ki serikali ni sisi pekee kwa sasa hapo GuangZhou,sasa tumehamia xiaobei Karibuni sana tuwe wamoja... Tusisahau: Pia kwa habar za ticket za ndege tembelea: www.facebook.com/travelpointtz
 
safi sana...feb 2015 lazima nitie maguu hapo
 
Iko mtaa gani China, mie hua nakula pale Kwa yule Mama anaitwa madina, Mara akaanza mbwembwe, Mara Chakula hakuna ukipiga cm unaweka order uli ukifika ule uondoke Ukifikaa mwenyee hayupo sijui yuko Nani, nikahamia Kwa Mdada Anaitwa Devika Chakula chake kizuri sanaaaa. Mashallah...
 

Attachments

  • IMG-20141229-WA0014.jpg
    104.5 KB · Views: 180
  • IMG-20141229-WA0009.jpg
    98.8 KB · Views: 196

ni hapo hapo. kama una namba yake. wasiliana nae. kwa sasa migahawa ya uchochoroni imefungwa tumefungua yenye kutambulika rasmi na serikal.
 
Safi sana kwa moyo wakuwasaidia waTz wenzeni kufikia malengo yenu.Kikubwa uaminifu na matanzango zaidi ili vijana wengi waweze kujichanganya na fursa za kibiashara zilizokuwepo pande hizo.Big Up
 

job well done!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…