Bongo LINI KAMA HII?

next 3 generations..hadi kitukuu changu ndo wanaweza wakaona hiyo kama pale ubungo mataa.
 
Huo mkeka unawezekana kama tutakuwa na viongozi wenye uchungu na usongo wa maendeleo. Tatizo tulilo nalo sasa ni kuwa na watawala wenye tabia za kipanya panya ambao wana usongo na kudokoa na kutumia na kutumiwa. Pesa iliyofichwa Uswisi na inayotoroshwa na wawekezaji na maponjoroi inatosha kujenga ndude kama hizi kumi. Simpo.
 
Hizo ni kama za bongo tu maana rasilimali zote wanachumia huku
 
Yani hii inaanzia pale msimbazi, kibonde mpunga, wakimara na chalinze wanachukua T1, wa magomeni, manzese, ubungo T2, wanaogeukia upanga kurudi mjini na kariakoo T3, Siku inakuja isiyokua na jina. Kila kitu kina mwanzo na mwisho wake.
 
Upo kwenye nchi ambayo rais anaamin kwamba uwepo wa jam na magari meng ni ishara ya maendeleo.
 
Yani hii inaanzia pale msimbazi, kibonde mpunga, wakimara na chalinze wanachukua T1, wa magomeni, manzese, ubungo T2, wanaogeukia upanga kurudi mjini na kariakoo T3, Siku inakuja isiyokua na jina. Kila kitu kina mwanzo na mwisho wake.

Picha kamili itakuwa kama inavyoonekana hapa chini...
 

Attachments

  • south02.jpg
    117.9 KB · Views: 362
Mpaka akili za viongozi wetu zifanye kazi upside down tofauti na sasa
 
Maana yake ni kwamba tutafikia hatua hii hapa kwenye picha ...!!!
 

Attachments

  • flyovers01.jpg
    81.1 KB · Views: 323
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…