Bongo kujishika sehemu za siri

Bongo kujishika sehemu za siri

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,521
Reaction score
96,267
Wana jamvi nimekuwa najiuliza nini maana ya wanamziki wa kizazi kipya Bongofleva wakati wanaimba utaona wanajishika sehemu za siri, ina maanisha nini?
 
Wana mizigo ya kutosha inayoning'inia karibu na magoti.ndio mana wakati wa kuimba inabd wainyanyue ili wapate wepesi wa kumiliki jukwaa.watu wote mikono juu say yeeeeh.
 
mkuu hii kitu ina maajabu sana ndio maana mara nyingi tunapenda kuikagua

halafu nikupe siri hakuna kitu kibishi kama mapumbu yaani miaka yote yananing'inia ukimbie utembee ugegede yananing'inia tu hayaachii huu ndio ubishi mwanzo mwisho
 
Siri gani wakati kila mwanaume anayo?? Halafu pia wanawake wanajua.
 
Wana jamvi nimekuwa najiuliza nini maana ya wanamziki wa kizazi kipya Bongofleva wakati wanaimba utaona wanajishika sehemu za siri, ina maanisha nini?
Wanamuiga Michael Jackson aliyeanzisha mtindo huo zaidi ya miaka 30 iliyopita.
 
Heshima yako Mkuu...

mkuu hii kitu ina maajabu sana ndio maana mara nyingi tunapenda kuikagua

halafu nikupe siri hakuna kitu kibishi kama mapumbu yaani miaka yote yananing'inia ukimbie utembee ugegede yananing'inia tu hayaachii huu ndio ubishi mwanzo mwisho
 
swaga tu , sisi wazamani 1983 mbona tulikuwa tunatembea bega moja unalishusha chini, utafikiri unataka kufukuza kuku
 
mkuu hii kitu ina maajabu sana ndio maana mara nyingi tunapenda kuikagua

halafu nikupe siri hakuna kitu kibishi kama mapumbu yaani miaka yote yananing'inia ukimbie utembee ugegede yananing'inia tu hayaachii huu ndio ubishi mwanzo mwisho

Hahaha
 
Back
Top Bottom