Bongo kujishika sehemu za siri

Bongo kujishika sehemu za siri

Wengine migegedo inakua ime fyatuka wakiona totoz mbele yao so wana zuia mlima usichomoze!
 
Usisgangae hata nyimbo zao ni mapenzi tu. Hivyo wanashika huko kuenzi mashairi yanakotoka.
 
Huwa mara nyingi wanakabiliwa na kitu tunaita "Ashki majinuni"
 
Hawana lolote ni waigaji tu, wameiga kwa wacko jacko a.k.a Michael Jackson .
 
Back
Top Bottom