Bongo kuanzishwa ANT-CYBERTERRORISM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bongo kuanzishwa ANT-CYBERTERRORISM

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Lucchese DeCavalcante, Jul 23, 2009.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2009
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Kwa mujibu wa mkurugezi wa makosa ya jinai aka DCI serikali ina mpango wa kuanzisha kitendo cha kuzuia na kudeal na CYBERTERRORISM. hayoyalibainishwa na mkurugenzi huyo alipokuwa akizungumzia suala la raia wawili wa Bulgaria waliokamatwa kwa wizi wa kwenye ATM alisema " serikali ina mpango wa kuanzisha kitengo cha kuzuia na kushughulikia makosa ya CYBERTERRORISM"

  Haya kwa wenye fani za CEF or CISSP kaeni mkao wa kupata kazi kwenye kitengo hicho nyeti serikalini. Pengine kuanzishwa kwa kitengo hiki pia kiunatokana na msukumo wa sakata la zeutamu.

  Kwa habari zaidi kuhusu CYBERTERRORISM tembelea link hii

  Cyber-terrorism

  Source: TBC Radio
   
Loading...