Bongo igeni na kivazi hiki!!

hapa kazi ipo tunahitaji roho wa Mungu kuchomoka
 
Verry easy unafungua hicho kikamba tu unaendelea na shughuli zako!:wink2:
 
Hapana. Alipigwa chini, akavimba juu...........

MPIGAJI: Peter Andre (Mwimbaji Mysterious girl) na Mpigwaji: Katie Price-Model.


Matatizo ya kuowa wanawake/wanaume waonyesha mavazi. Aibu zao ziko makalioni.
Is it not nyama choma na bia?
 
Ahhhhh! Hili nalo ni vazi?

Hivi unasema kweli? Amevaa nguo huyu kimwana?
Mbona mimi siioni au ndio ile hadithi ya mfalme na yule mtoto aliyeshindwa kustahamili na ilimtoka tu..."mfalme yuko uchi!!"
 
Waige ili iwe rahisi kubakana.napita tu lakini.
 
Wakiiga na wakifanikiwa sheria ya kubaka ifutwe.
 
Hapo ni miaka kadhaa ilopita nadhani manake namuona yuko na Peter Andre ha[po
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…