Bongo Fleva year 2020

Hawa walikuwa wanafanyia utundu wapi?This is very good!!!!
 
Tatizo letu hatujui kuendeleza vipawa maana hapa wakitokea wazazi wao si ajabu wakawatoa baru bila kujali kukuza vipawa vyao. Inawezekana tukaja kupata waimbaji wa nyimbo za injili nani anajua!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Duuh ndoto nyengine zinaanza hivyo hivyo, muulizeni JK
 
Duh!!!Wamenifurahisha niaje!!!Nimejikuta nawafananisha na Shikamoo Jazz band,safi sana hata kama hii sirikali haiwaoni watoto kama hawa na ndoto zao ipo siku tu watapata ukombozi.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…