Emma Mnyama
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 201
- 183
Bongo fleva inazidi kushika kasi kwa kuwa ushindani unazidi kuongezeka.
Naweza kuwashindanisha kama ifuatayo.
1.Diamond Platnumz vs Ali Kiba
Diamond ni mwanamzuki mwenye mafanikio makubwa, Ali kiba ni mwanamuziki anaependwa/ kukubalika na watu wengi kwasababu ya sauti yake.
2.Aslay vs Rayvanny
Nimeona vema kuwaweka wasanii hawa kundi moja. Yupi mkali?
3.Nandy vs Ruby
Nandy amepiga hatua kubwa kwenye muziki, lakini Ruby anaonekana kurudi kwenye game. Je ataweza kumfunika Nandy??
4.BenPol vs Jux
Hawa ni wakali wa RnB kwa sasa, Yupi unamkubali zaidi?
5. Maua Sama vs Vanessa Mdee
Nani ni mkali zaidi kati ya hawa?
6.Rostam (kundi) vs Weusi (kundi)
7. Beka flavour vs Maromboso
8.Manfongo vs Sholo Mwamba
9.Young killer vs Young D
10.Fid Q vs Joh makini.
Unaweza kuweka wasanii unaoona wanafaa kushindanishwa.
Unaupenda ushindani wa nani kati ya hawa?
*Haipendezi kutukana