Bongo fleva hadi usingizi

Najua wengi mmeguswa na hiyo image, kwa upande wangu nina mtoto wa kike pia japo mkubwa kidogo kwahuyo...

hiyo picha imenigusa moyoni vibaya sana na kufikiria mambo mengi sana kwa muda mchache...jamani tulio na watoto na hata wale wasiokua nao...tujaribu kuwasaidia watoto inapotokea wanapokumbwa na maswahibu mbele yetu.

Tusiache kufanya hivyo kwa kweli...hiyo picha imenihuzunisha sana na kuna jamaa hapo juu kacomment "njaa, uchovu na wasiwasi..". aisee...imeniuma sana.
 

Reflections of hardships n hard times...its so embarrassing
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…