Bongo fleva beat - FL STUDIO

Bongo fleva beat - FL STUDIO

Nimbejaribu kutengeneza Bongofleva beat kwa software ya Fruity loops....

Unaweza ukaisikiliza hapo chini na kunipa comment zako...

Mimi sio mtaalamu wa muziki lakini naisikia imekaa vizuri.

Unavyoiweka hapa huogopi kuibiwa?????
 
Nimeshindwa kui define kwa sababu sielewi ulikuwa unatengeneza beat kwa ajili ya muziki wa style gani i.e sijui ni taarabu, wabanapua, zuku au hiphop, yaani sijaelewa ulikuwa unalengo la kutengeneza ilimladi ni beat tu
 
Yap bro hapo nimejaribu kuleta ladha mpya kwenye hizi beat za bongofleva za kawaida nataka nifanye kitu kipya tofauti na hizi za kawaida... Ni bongo fleva pia though naweza nkabuni jina lingine!
 
Mimi sio mtaalamu wa muziki lakini naisikia imekaa vizuri.

Unavyoiweka hapa huogopi kuibiwa?????

Ahsante mkuu... Ningependa zaidi mtu atakaetaka kuitumia tuwasiliane ila hata ikiibiwa si mbaya ntajua kazi yangu imekubalika!
 
Beat nzuri sana mkuu ila jaribu kucheck issue ya Scaling (Note Keys) hasa kwenye bass ambayo ipo offkey kabisa..

Kama ni beginner ninakushauri uactivate Ghost Channel (Piano Roll_Tools_Ghost channel) itakusaidia kukuonesha scale images za melody nyingine hivyo kuassist kutotoka nje ya key.

Yangu ni hayo tu.

Asante.
 
Umejitahidi mkuu ila inabidi ujibu hoja ya mkuu Kasu maana anaonekana unajua technical kuliko sisi tunaosikiliza tu.
 
Last edited by a moderator:

Naomba nikiri bass ndo tatizo langu kubwa! Nashukuru kwa ushauri wako nitaufanyia kazi!
 
Umejitahidi mkuu ila inabidi ujibu hoja ya mkuu Kasu maana anaonekana unajua technical kuliko sisi tunaosikiliza tu.

Anachosema ni sahihi kabisa mkuu! Nitafanyia kazi ushauri wake!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom