Kingdom_man
JF-Expert Member
- May 19, 2010
- 405
- 456
angekuwepo rafiki nisingewaza, rafiki mpenzi niliyempendadaah kuna ngoma ya jebby marehemu ameacha orodha!msg nzuri af ipo kimipango!
Naona unafanya promo, anyway, huyo dada kwenye chorus anaitwa nani?
Reunited(but the violin got replaced by keyboard trumpets).Beat imelandana na wimbo 1 wa Wu tang. Najaribu kukumbuka jina. nikikumbuka nitairusha tyubu yako (youtube)
naona katumwa na nikk kuja kumpromot, uyo dada anaitwa pipiNaona unafanya promo, anyway, huyo dada kwenye chorus anaitwa nani?
Kwa US bongo fleva ninayoiona mara kwa mara kwenye TV ni "Kipi ni dhambi kwa mwenye dhiki" by XPLASTAZ.
Huonyeshwa mara kwa mara Link TV - World Music.
Wamarekani wengi ninaowafahamu huniambia hii nyimbo iko real deep!!
RIP Faza Nelly.
Beat imelandana na wimbo 1 wa Wu tang. Najaribu kukumbuka jina. nikikumbuka nitairusha tyubu yako (youtube)