Bongo flava ya ukweli kuliko zote

Kingdom_man

JF-Expert Member
May 19, 2010
405
456
I just thought of sharing what it think is the most INCREDIBLE TUNE by Nikki wa Pili

Hii ngoma imetulia sana wasanii wote wa bongo wangekuwa na mistari mikali na video nzuri kama hizi wangekuwa mbali sana!
 
Last edited by a moderator:
Kwa US bongo fleva ninayoiona mara kwa mara kwenye TV ni "Kipi ni dhambi kwa mwenye dhiki" by XPLASTAZ.
Huonyeshwa mara kwa mara Link TV - World Music.
Wamarekani wengi ninaowafahamu huniambia hii nyimbo iko real deep!!
RIP Faza Nelly.
 
Naona unafanya promo, anyway, huyo dada kwenye chorus anaitwa nani?
 
..Kiukweli huwa nai-feel hii ngoma!!!..BUT sidhani kama ni nzuri kuliko any bongo flava
 
Beat imelandana na wimbo 1 wa Wu tang. Najaribu kukumbuka jina. nikikumbuka nitairusha tyubu yako (youtube)
 
Kwa US bongo fleva ninayoiona mara kwa mara kwenye TV ni "Kipi ni dhambi kwa mwenye dhiki" by XPLASTAZ.
Huonyeshwa mara kwa mara Link TV - World Music.
Wamarekani wengi ninaowafahamu huniambia hii nyimbo iko real deep!!
RIP Faza Nelly.

Mkuuu kweli wewe nimekukubali unaujua muziki wetu,Lile song ni balaa limesheheni ujumbe mzito kinoma,na linamafundisho kwa jamii yote bila kubagua KWA AMBAYE HAUJUI AUTAFUTE apate ujumbe,RIP FAZA NELLY.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom