Penologist
JF-Expert Member
- Feb 25, 2019
- 793
- 1,932
Nope sijamaanisha wote,wapo wachache wanafanya vizuri.Kama unabisha washa radio au television ukiwa na mtu unaye mheshimu 3/4 ya nyimbo zitakazo chezwa ni ngono tupu.Mkuu Unawivu na kina young lunya?
Mbona dizasta yupo vyema kuliko yule KR wa temeke
We mpelekee moto ,mpelekee moto..!Salaaam wakuu,
Nimekuwa nikisikiliza mziki wa bongo flava kuanzia enzi za takeu ikaja kiduku, ikaja ngololo hadi kufikia mpelekee moto.
Ukweli ni kwamba hapo nyuma walianza vizuri kwa upande wa hiphop kina niger j na Mr.2 wakatengeneza njia wakaandika mashairi ya kuelimisha jamii na wengine waka fanya hiphop cartoon ambayo inaelimisha na kuburudisha. Watu tukaelewa mziki wa bongo tukasikiliza hadi sitting room tukiwa familia nzima.
Kwa upande wa bongo flava tulisikiliza tungo nzri za mapenzi kina T.I.D,Matonya,Mb doggy na Mr.Nice waliandika nyimbo za mapenzi zenye staha unazoweza sikiliza na familia watu tukauelewa mziki wa bongo.
Wakaendelea vizuri ukaja mziki wa kucheza wenye tungo hafifu lakini hakuna matusi, tuta wakumbuka kina msami, mesen selecta, diamond wa number one, Ali wa chekecha, shetta wa kerewa na wengine.
Miaka ya hivi karibuni sasa ndiyo imekuwa tatizo mziki ni matusi na ngono mubashara tungo zimekuwa explicit yaani unaogopa hata kusikiliza ukiwa pekeyako licha ya kuwa na familia, mziki uliotawaliwa na tungo za ngono tupu, mziki usiokuwa na staha, kila upande ni vurugu siyo hiphop wala bongo flava, maneno utakayo sikia ni mpelekee moto Hugo ni baddest, yupo young lunya atakuambia habari za kupeleka moto hadi kukojoza mara mpe tango,lulu diva ata kuambia anapenda Mandingo ina mkolea kitandani utasikia napenda inavyo zama. Tpuu naona aibu ata kuandika hapa.
Mziki wa bongo flava umekuwa kielelezo cha maadili kuporomoka kwa kiwango cha sgr. Rai yangu kwa basata fungieni huo uozo ata kama zikitoka nyimbo chache zenye heshima ni bora mpaka pale wasanii watakapo jifunza kuandika tungo zenye maadili.
Mkuu mzee ni nani?, ninavyojua wazee mziki wao ni rhumba za taratibu za akina mbaraka na marijani.Hizi ni zama na wakati wa miziki aina ya matusi, nyie wazee muda wenu umepita, mtupishe bhanaaah lol.
Utajisikiaje mtoto wako wa primary akiimba mpelekee moto au mandingo?.itakua wamegundua wasikilazi wengi wanapenda mapenzi na matusi,kama haupendi sauti zao zima redio
Pesa imekuwa kisingizio cha kuimba ngono, Mr.Nice alijaza ela ya matumizi kwenye boot ya gari na hakuimba matusi.Ila ndo wanapiga hela kuliko hao wa zamani na ndo kitu cha muhimu.
Zama zina badilika, na binaadam pia hubadilika huenda hizi ndo zama za matusi n.k
Mzee n wewe unaetaka nyimbo za aina yako, tuache bhana watoto tuburudike na miziki ya matusi wakati wetu huu.Mkuu mzee ni nani?, ninavyojua wazee mziki wao ni rhumba za taratibu za akina mbaraka na marijani.
Hakika kabisaaaah.Muda wao huu
Mziki wa matusi ni haki yako ya msingi?.Mzee n wewe unaetaka nyimbo za aina yako, tuache bhana watoto tuburudike na miziki ya matusi wakati wetu huu.
Ilikuwa zama hizo mkuu, ndo maana nikasema zama zimebadilika sasa hivi usipoimba matusi mambo hayaendi.Pesa imekuwa kisingizio cha kuimba ngono, Mr.Nice alijaza ela ya matumizi kwenye boot ya gari na hakuimba matusi.
Naona aibu Mimi."Weka mate niteleze, kama nyoka pangoni.."
"Nalegea, ikigusana yangu na yakoo.."
"Sitaki kibamia, mwanaume mashine.."
"Kutwa nadindisha mkonga.."
"Mtoto laini, chuchu dodo dodo.."