Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,775
- 28,222
Huwa watu kama wewe ninawapa sindano za uchungu haijalishi utaumia au lah it's not my business..Usinilishe maneno, wapi nimeandika mziki uko WCB tu, huwezi kumlazimisha mtu apende kitu ambacho si test yake.
Ukiona mtu ku support usichokikubali ni uchawa basi na wewe ku support unachokipenda na ukunguni to balance that stupid equation.
Probably uwezo wa kuelewa ninachokiandika hauna ndiyo maana hata swali unaliona kama ni proven statement.
All in all don't take these arguments personal, ni issues ambazo hazileti mkate mezani labda kwa walio kwenye music industry.
Kumbe unazifahamu? Mi nikajua huzijui kabisa... Sa uliwezaje kusikiliza makelele?Hizo siyo nyimbo ni kelele zinazoumiza masikio
Nami nasema hii mbege iliyochacha kunywa mwenyewe... Mario hana mziki wa kueleweka km hutak tafuta kakichaka kazuri mi nikuletee kamba ya mbuzi wa mwenyekiti wa kijiji ujitundikeHuwa watu kama wewe ninawapa sindano za uchungu haijalishi utaumia au lah it's not my business..
Mimi na wewe nani analazimisha kama sio wewe ulianza kwa kina Damian wamekwambia unawabishia..
Haya mataputapu unayoandika ndio kudai una akili ni bora watu tuwe wajinga kuliko kuwa na akili kama zako .
Mimi nasema rayvanny hana muziki mzuri kama marioo hutaki meza wembe..
Usilazimishe..
Atasubiri sana, si leo wala kesho.Huwa watu kama wewe ninawapa sindano za uchungu haijalishi utaumia au lah it's not my business..
Mimi na wewe nani analazimisha kama sio wewe ulianza kwa kina Damian wamekwambia unawabishia..
Haya mataputapu unayoandika ndio kudai una akili ni bora watu tuwe wajinga kuliko kuwa na akili kama zako .
Mimi nasema rayvanny hana muziki mzuri kama marioo hutaki meza wembe..
Usilazimishe..
Huo ndio ukweli wenyeweUko sawa, Ray anabebwa na lebo kubwa lakini Mario ni level ingine wakuu
Huo uongoo labda hujui mzikiRayvanny anyday. Marioo mfananishe na Mbosso au Aslay
Ray vanny anaimba ila hamkutii marioo ni level lingineAcheni zenu Raymond ni mnyama sana. Hicho kitoto cha juzi ndio mkipambanishe na CHUI? Siyo shabaki wa yeyote kati yao but Rayvann kampita mbali sana huyo marioo kwa kila kitu.
TunamzingatiaKwangu mimi Mario anakipaji sana kuliko Rayvany sema tu watanzania hatumzingatii, beer tamu, kwa raha
Who is current king of Bongo flavour ?Marioo ni mbunifu zaidi
Akipata support nzuri he will be the next king of bongo flavour
King KibaWho is current king of Bongo flavour ?
Hiv r&b mnazijua kwel?? Zile za kina mario na Ray van ndio rnb kwel??Kwanza,hao wote wanaimba aina ya mziki wa aina moja hususani RNB..wote ni watunzi wazuri sana but rayvanny is more than mario.Pia waweza kuwafananisha kama JUX na BENPOL
Hiv r&b mnazijua kwel?? Zile za kina mario na Ray van ndio rnb kwel??
Aisee nikikaa kusikiliza mavitu ya akina KC & JOJO au akina Rkelly halaf nalinganisha na hiz rnb zenu aisee mbona inachekesha sana...au rnb maana yake ni nin labda...? Usikute mimk ndio sijui
Who is current king of Bongo flavour ?
Sifa za hovyooDIAMONDPLATNUMZ
LION
SIMBA
CHIBU
CHIBU DII
CHIBU DEE
EVARA
TOTO LA KIMANYEMA
DANGOTE
THE PRESIDENT OF BONGO FLAVOR
GAME CHANGER OF BONGO FLAVOR
CHIBU DANGOTE
PLATNUMZ
DIAMOND