Bongo bwana matangazo yamekaa kitapeli sana

AI BRAINFULL

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2019
Posts
1,831
Reaction score
4,684
Utasikia njoo dm kwa maelezo zaidi,garama zetu ni nafuu sana,njoo dm nikutajie bei,tupigie tukuelekeze( hizi ni njia za kuwatapeli watu maana kila mtu akienda dm atatajiwa bei yake na atachekechwa kivyake,bei nafuu huku bei sahihi au yamwanzo haijulikani)
 
Hahaha
 
Utasikia mtu anajisifu ''Sisi ndio mabingwa wa kuchimba visima''

Unajiuliza hivi haya mashindano yallifanyika wapi na lini mpaka hawa ndio wakawa mabingwa?
 
Wajinga ndio waliwao siku zote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…