Ngushi JF-Expert Member Joined Jul 8, 2016 Posts 9,064 Reaction score 18,367 Jun 25, 2017 #2 Bongo bahati mbaya
URBAN MONKEY JF-Expert Member Joined Jun 4, 2017 Posts 736 Reaction score 1,374 Jun 25, 2017 #4 watu wabayaaaa duuh!!!
Wissman JF-Expert Member Joined Dec 12, 2014 Posts 1,034 Reaction score 1,319 Jun 27, 2017 #5 Wazawa kibao wanafanya mambo makubwa kwa wananchi wanaowazunguka wananyimwa hiyo. Roho mbaya na chuki. Watu wanajenga barabara, wanajenga shule, wanasaidia jamii, barabara za maeneo yao kuitwa majina yao hai mkuu wa mkoa atajua
Wazawa kibao wanafanya mambo makubwa kwa wananchi wanaowazunguka wananyimwa hiyo. Roho mbaya na chuki. Watu wanajenga barabara, wanajenga shule, wanasaidia jamii, barabara za maeneo yao kuitwa majina yao hai mkuu wa mkoa atajua
The Chosen One JF-Expert Member Joined May 24, 2017 Posts 3,579 Reaction score 17,013 Jun 27, 2017 #6 Bora tu mana hizi dharau walishindwa kuita hata bashite street
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,239 Jun 27, 2017 #7 Bongo bahati mbaya kwa kweli
S Sumu JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,015 Reaction score 6,246 Jun 27, 2017 #8 Kama unampenda mno huyo mkenya kampe shamba lenu kijijini kwenu.
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Jun 27, 2017 #9 Ha ha maisha raha sana
K kariankei Senior Member Joined Jun 25, 2016 Posts 162 Reaction score 29 Jun 27, 2017 #10 Kwa nn wasiseme samatta street?
bleedingsouls Senior Member Joined Jul 16, 2015 Posts 123 Reaction score 108 Jun 27, 2017 #11 Prof Ndunguru said: View attachment 530486 Click to expand... who is Wanyama? kindly nieleweshwe?