Bongo action movie

Bongo action movie

Newmoney

Member
Joined
May 1, 2015
Posts
17
Reaction score
2
Wale wananaopenda action za bongo hapa ndio uwanja wetu. Taja action movie unayo ikubali kutoka bongo.

Mimi. 1. BAGA

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Hahahah mkuu unazungumzia hizi muvi ambazo kua jambazi mpk unune muvi nzima, koti refu jeusi, miwani mweusi (hata kama ni usiku), na kuongea kwa hasira huku mdomo umekunjwa mda wote?
 
sijui hata moja. Labda binti kikojozi
 
Seba na Jimmy wanajitahidi(Misukosuko),wangepata directors wazuri wanaweza kazi!nawatafutia wafadhili south Afrika nifanye nao project
 
bongo muvi ni mataputapu waliyozowea vijakazi wa nyumbani na makonda wa mabasi ya mikoani.
 
Shamba kubwa, niliicheki zaman sana zaidi ya miaka 15 iliyopita
 
Wale wananaopenda action za bongo hapa ndio uwanja wetu. Taja action movie unayo ikubali kutoka bongo.

Mimi. 1. BAGA

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
kuna movie flan ya kibongo kuna bonge anatia sna mkono kuna scene anamshushia mtu TV aisee naitafuta sna sijui jina lake msaada mkuu

Sent from my SM-T116 using JamiiForums mobile app
 
kuna movie flan ya kibongo kuna bonge anatia sna mkono kuna scene anamshushia mtu TV aisee naitafuta sna sijui jina lake msaada mkuu

Sent from my SM-T116 using JamiiForums mobile app
Inaitwa street mafia....
Kwakweli movie za kibongo hazipandi kabisa hata hizo nilizoziona ni kwasababu ya kutembelea watu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom