Bonge nyanya

Bonge nyanya

hapo taabu kweli mwanamke atakuwa anateseka xana
 
Kupenda ni ishu nyengine jamani.

Jamaa alishapenda mdada ambaye ni chongo akasema anakonyeza mfululizo.
 
usihofu wembamba wa reli kwani unabeba treni, watu na mizigo yao.
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    6.5 KB · Views: 511
usihofu wembamba wa reli kwani unabeba treni, watu na mizigo yao.

Kiboko ya boflo itumbukize kwenye kikombe cha chai inaregea unamega kwa ulaini kabisa.
Hata ikiwa kikombe ndogo kama ya gahwa!
 
Back
Top Bottom