Bonge La Bwana.... Madataa....

Bonge La Bwana.... Madataa....

Kasie hakika ww ni miongoni mwa waandishi wazuri sana hasa wa ma lovee,mie naomba nikuite kasie mahaba...ubarikiwe mama
 
Kasie hakika ww ni miongoni mwa waandishi wazuri sana hasa wa ma lovee,mie naomba nikuite kasie mahaba...ubarikiwe mama

Asante kwa pongezi, wala hujakosea
Naitwa Kasie Mahaba.
 
Kasie wewe ni mmoja wa waandishi wa hadithi za bongo movie ?

Storie yako inapendeza kuwa kwa screen.
 
Kasie wewe ni mmoja wa waandishi wa hadithi za bongo movie ?

Storie yako inapendeza kuwa kwa screen.

Hapana, mie wala sio mtunzi au muandishi wa hadithi bali huwa nasimulia mambo yanayomtokea Kasie.

Asante kwa pongezi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom