Bondo la nguvu

Bondo la nguvu

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
559007_397832550292078_516025862_n.jpg


526307_397808133627853_2016149738_n.jpg


622254_396325313776135_817592236_o.jpg



63764_396321173776549_1589330833_n.jpg


705208_394863837255616_1045747055_o.jpg
 
Kinadada wengi kwa kawaida huwa wanakula kidogo,sijui kwa sababu ya mashauzi au miili yao huwa hahitaji chakula kingi,lakini kwa hawa ni ajabu,maana wamejaza chakula kwenye sahani zao kama kilele cha mlima kilimanjaro!!
 
Mbuzi Mzee duh hizo nguna umezitoa wapi aise
Halafu hao wadada wanakata nguna mbaya aise
 
Last edited by a moderator:
Kinadada wengi kwa kawaida huwa wanakula kidogo,sijui kwa sababu ya mashauzi au miili yao huwa hahitaji chakula kingi,lakini kwa hawa ni ajabu,maana wamejaza chakula kwenye sahani zao kama kilele cha mlima kilimanjaro!!

Huyo mchizi maleft ume mcheki lakini? Afu haya ni mashindano nini! Naona kuna washangiliaji kwa nyuma.
 
ila imetulia. nakumbuka wimbo wa mhakamchaka tuliimba

bondooo, bondoooh! bondooo la shule!
kula bondoooo jisikie bondooo '...........................

mwisho tumalizia ulikuja fulati jam utarudi na kinoli jama muradi salama kinoli maana yake tumbo.
 
Back
Top Bottom