"BONDITA" ni Janga la Taifa

Hapa bongo zaidi ya ubongo kids sijaonaga maudhui kwa ajili ya watoto kwenye hizi local chanels.

Yamejaa matamthilia ya kiutu uzima tu, dogo kama wa kiume basi afatilie mpira tu kama wa kike ajifunze kupika na mama yake huko.

Unakuta kitoto kimekaza shingo kinaangalia huba na matakataka mengine kama hayo.
 
A Sticker zake zinauzika balaa na hao watoto ndo wateja wakubwa. Chukua hiyo
 
Siku zote jamii inaharibiwa na mwanamke.

Wanawake hushabikia mambo ya kipuuzi sana hadi kuruhusu watoto wao kufanya ujinga. Angalia marafiki wa vijana mashoga huwa ni wanawake, wanawake hao hao wanawapamba watoto wao wa kiume kama wa kike.

Na huyu nae nliemquote nadhan ni mwanamke anaeshabikia upuuzi kisa tu unamburudusha.

Juzi napita mtaa fln nakuta kitoto kimenyanyua sketi kinaiga wale wanaocheza singeli huku wamenyanyua nguo zao wakionesha pichu nje, af pembeni kulikua na wanawake wanaakaangalia huku wanafurahi kweli.

There is a need for social reform, that's why in ancient era women had no influence in social and economic issues
 
Tamthilia zote za kihindi zinazooneshwa azam tv ni za kishenzi
 
MKE wangu Yuko addicted na Hii tamthiliya mpk Basi, nikirud had saa 6 usiku nakuta wanaangalia.
 
nipo llive naangalia bondita
 
Kuna kitu kinaitwa localization, unapotafsiri kitu hutumii word to word translation bali unatumia maneno ambayo ni rahisi kueleweka kwa uliowalenga, mfano mtu anasema utakuwa msanii maarufu kama jay patel, unakuta jay patel ni msanii wa kihindi wabongo hawamjui, so kwenye localization itabidi useme utakuwa msanii maarufu kama diamond.
Halafu lugha ni tamaduni huwezi kutafsiri kitu kikawa sawa kabisa hata wewe ungekuwa unajua kihindi ungegundua hizo subtitles za kingereza zina kumisslead.
Ndiyo scenario iliyotokea kwenye squid game wanaofahamu kikorea wanasema subtitle za kiingereza zinamislead kabisa kwasababu mfano kikorea kina namna zaidi ya 8 ya kumuaddress mtu kutokana na umri na ukaribu ulionao naye. Wakati kingereza kina njia 2 tu, kwahiyo subtitler atatatumia option nayohisi walau inaendana kidogo na hiyo
 
Ukae ukijua mama yao “Super Woman” karuhusu baada ya kujifungua warudi shule kuendelea ku-load files so kaa kijanja!

Mpaka muda huu wao 3 sisi hatujapata kitu!
 
Ving'amuzi mnavyotumia havina option ya parental control?
 
Bodi ya filamu wanasemaje, au huko ilikotoka ipo kwenye kundi gani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…