Siipendi BONDITA,
Ila mwanangu mmoja wa kike, ambae mwaka huu anasoma darasa la nne, anaipenda Sana! Katu hapendi kuikosa!
Kauli za BONDITA, "mume waangu, mume waangu!" Zinanitia hofu kuharibu saikolojia ya mwanangu!
"Mume waangu" Ni kauli mzito kutamkwa na watoto!
BONDITA anakwenda kuwafundisha watoto kuwa "MUME" ni neno la kawaida, linatamkwa hata na watoto wadogo!
BONDITA haitawaacha watoto wetu salama! Tuendelee kupuuza na kufurahia!
Shida tamthilia kama hizo PG ni rate 13 sasa hapo unahis ni sahh mtoto wa umri huokumuaminisha juu ya maswala kama ayo ya ndoa za utotoni? Kwa taratibu zao(kihindi) sio tatizo ila kwa huku kwetu kuna tatizo sanaMkionaga PG kwenye TV programmes huwa mnadhani ni masihara sio?
Acheni ulimbukeni wa kiduanzi. Huwezi kuruhusu watoto kuangalia kila maudhui kwenye TV hata yasiyokuwa na maadili.
Mimi nakaa home kwetu tu sina TV wala king'amuzi ila watoto home nawapiga pin kinyama hawaangalii maudhui ya kikubwa kabisa.
Mpaka wazazi wao wananiita mkoloni ila poa tu kuna siku watajua hawajui.
Parental Guidance ni kitu muhimu. Lock channels zinazoonyesha maudhui ya kikubwa kama haupo home hakuna anaeweza kuangalia.
Ukiachia kila kitu beki tatu yeye hajali wala hajui madhara ya hayo mambo kwa mtoto. Msiwe wazazi wakifara.
Ndio maana nikasema mzazi unatakiwa uwe na sensorship juu ya ni nini watoto wako wanaangalia kwenye TV sio kila kitu tu wanaangalia.Shida tamthilia kama hizo PG ni rate 13 sasa hapo unahis ni sahh mtoto wa umri huokumuaminisha juu ya maswala kama ayo ya ndoa za utotoni? Kwa taratibu zao(kihindi) sio tatizo ila kwa huku kwetu kuna tatizo sana
Daah, Ila of course nyie wamama munatuangushaga Sana kwenye malezi ya mabinti wetu!Samahani
Ila Bondita nitamthilia nzuri sana
mimi nilikuwa naitazama kwenye colors ipo
mbele zaidi halafu hawa azam wanatafsiri vibaya sijui kwa sababu ni kiswahili kigumu ila kwenye colors wanaongea kihindi wanaweka subtitle ya English
Ni huyo Bondita huko kwenye colors haiti neno Mume wangu kuna jina analitamkaa ambapo kiingereza chake ni neno SIR
Sema nini hayo mambo ni kawaidaa kwa sababu ya utandawazi unaweza kuzuia mtoto asitazame michezo ya tamthilia lakini akaenda shule akakutana na wenzie wakamfundishaa vya ajabu zaidi
Waombeeni watoto zaidii Msiwaachie akina mama jukumu la kuombea familia ni la wazazi wote wawili
[emoji3][emoji3][emoji3] Bondita ni tamu buanaaa pole baba[emoji1787][emoji1787]
Hiyo bondita ndo kitu gani?nitoeni ushamba
Wakikujibu nitaarifu na mimi Mdogo wangu..Hiyo bondita ndo kitu gani?nitoeni ushamba